MURUSI
JF-Expert Member
- Jun 25, 2013
- 4,537
- 8,824
vipi kama anatafuta mtaji wa kununua komputa? madhara ya kusoma kwa kukariri vitabu ndo haya hapa, maisha sio kukariri maisha ni kujizidisha ni kubadilika kulingana na wakati.hujaelewa wala suala hapa ni kutumia elimu uliyosimea hata kama utaitumia chooni, sikubaliani na MTU kusoma degree IT halafu akachome mahindi kama wale wamama wa barabarani, Ila kama ukichoma mahindi kwa kutumia hyo IT Hamna shida yeyote kwa sababu unaleta mapinduzi katika kuchoma hayo mahindi, Ila kama unachoma tu kwa kutumia wavu ya kuyauza mia mbili mia mbili na eti una degree ya IT bas wewe ni full kilaza
Sent using Jamii Forums mobile app
elimu zetu pia zina shida sana
Sent using Jamii Forums mobile app