Jana ilikuwa siku ya Furaha kukutana na Graduate anachoma mahindi Barabarani

Jana ilikuwa siku ya Furaha kukutana na Graduate anachoma mahindi Barabarani

Kuna mwingine hapa Mwanza anaosha magari mwee! Leo asubuhi kahojiwa na BBC
 
IT ameshindwa kujiongeza hata akaanza kutengeneza simu?
Umeambiwa anatafuta mtaji mkuu, labda ndio apate vitendendea kazi tena hivyo vya kutengenezea simu ndio mpaka computer uwe nayo siku hizi maana wateja wengi wamenunua smart phone, sasa ukishindwa kuwahudumia hao utakuwa unakosavpesa nyingi sana!
 
Embu nichum kwanza, huku ukininon'goneza nani huyo anakutukana
Basi siku nyingine uache kudandia treni kwa mbele na uache kiherehere huyo niliemwambia hivo unajua tunafahamianaje?

Halafu uwe na adabu next time sio unaparamia tu yasikuhusu...
 
Basi siku nyingine uache kudandia treni kwa mbele na uache kiherehere huyo niliemwambia hivo unajua tunafahamianaje?

Halafu uwe na adabu next time sio unaparamia tu yasikuhusu...
Ww ni dogo tu na hakuna unachokijua..inshort ni danga unakujaje kuomba hela kwenye forum ya Chalsa ze great thinker???????

Kama bado hajakutumia sema nikupe double ya iyo hela
 
Acha umarioo dogo..unasapoti upupu hapa
Dogo tena kama kawaida yako.nazani umetumwa wewe nionyeshe post zako hata moja ya maana na ulio pata wachangiaji. Mnakuwa wajinga na utoto sana.

Uwezo wa kujenga hoja hamna sasa ni kuharibu post za watu nitakuona mjanja ukianzisha post ya kupingana na hii hapo nitakuona bonge la mjanja

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ww ni dogo tu na hakuna unachokijua..inshort ni danga unakujaje kuomba hela kwenye forum ya Chalsa ze great thinker???????

Kama bado hajakutumia sema nikupe double ya iyo hela
Uwezo wa kujenga hoja huna? Anzisha mada kupingana na hiki ndo wajanja wanafanya na kama huna uwezo huo basi kaaa kimya achia wenye uwezo usidhani kuanzisha post na kupata wachangiaji ni kazi ndogo.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Vipi kiuza Magari ndo unaweza kusanya mtaji?

Hahahaa nina case nyingi naweza kukupatia za ushuhuda. Shida zetu tunaamini kwenye biashsra ni ya Magari kuuza au Kuuza TV.

Unajua mfumo wa biashara wa Cocacola au Pepsi?

Sent using Jamii Forums mobile app
Kweli nimeamini humu hamna great thinkers. .hawaelewi kwamba unaweza kusanya mtaji mkubwa kutoka kwenye small business? ??
Hawa ndio wasomi wetu mkuu..sio kosa lao ni kosa la mwalimu wao aliyewakaririsha kwamba maisha nikuajiriwa au kupewa mtaji wakuuza magari.

Kuna mtu Arusha anauza karanga amejenga hadi nyumba za wapangaji..

Lkn msomi wetu analipwa laki4 kwa mwezi nyumba yakupanga anaona yeye ndio anamaisha.

Kweli Mungu awafungue tu izo akili zao ..

nakukumbuka ujue
 
Wale wachina kule Kariakooo unawaona vipi?

Usha fika Nigeria mkuu? We acha kule Udreva tu kuna watu wana Phd ndo Madreva.

Subilibi baada ya muda hizi story hazitakuwepo kwamwe.

Ni swala la.wakati

Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu umenena. Naiger kuna graduates wengi nilikutana nao ni makondakta wa kwenye magari achilia mbali hao madereva. Nchi yao ina wasomi wengi kuliko uhitaji wa soko. Lakini pia hata bongo magari mengi ya mikoani sikuhizi kukutana na graduate siyo jambo la ajabu. Nilishakutana na mmoja ninayemfahamu kampuni ya Ibra lines.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Huyu elimu hsijamsaidia kiti chochote. Unasoma IT unashindwa kuwa innovative???
 
Mkuu umenena. Naiger kuna graduates wengi nilikutana nao ni makondakta wa kwenye magari achilia mbali hao madereva. Nchi yao ina wasomi wengi kuliko uhitaji wa soko. Lakini pia hata bongo magari mengi ya mikoani sikuhizi kukutana na graduate siyo jambo la ajabu. Nilishakutana na mmoja ninayemfahamu kampuni ya Ibra lines.

Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu kwa sasa House Girl Form six wapo hadi mtu ana Diploma yake. ni swala la muda tu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom