Jana ilikuwa siku ya Furaha kukutana na Graduate anachoma mahindi Barabarani

Jana ilikuwa siku ya Furaha kukutana na Graduate anachoma mahindi Barabarani

Mi sizani kama ni kitu cha kufurahisha!! Elimu ya tanzania ichunguzwe, viongozi wa kisiasa wajichunguze!!

Simlaumu muuza mahindi ila namwonea huruma kupoteza miaka mitatu chuoni!!

Kwa kifupi alisoma kitu ambacho hapendi!!
 
chuo alichosomea hakina faida kwa jamii.
 
Ni fani ipi inahitaji mtaji? Hebu tuanze na wewe hapa tueleze umesomea nini na unafanya nini.

Hizi ID keki ndo zinatuvika nguo tu. zaidi ya hapo watu hats ku comebt wasinge coment.

Sent using Jamii Forums mobile app
IT naweza sema huyo jamaa elimu haijamsaidia kabisa;;;
Yaani IT amekosa kabisa kutumia maarifa yake huyo ni IT uchwara
 
Mi sizani kama ni kitu cha kufurahisha!! Elimu ya tanzania ichunguzwe, viongozi wa kisiasa wajichunguze!!

Simlaumu muuza mahindi ila namwonea huruma kupoteza miaka mitatu chuoni!!

Kwa kifupi alisoma kitu ambacho hapendi!!
Wale wachina kule Kariakooo unawaona vipi?

Usha fika Nigeria mkuu? We acha kule Udreva tu kuna watu wana Phd ndo Madreva.

Subilibi baada ya muda hizi story hazitakuwepo kwamwe.

Ni swala la.wakati

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ndugu, ni Principles zipi za kiuchumi ume apply ili kupata hizo hesabu zako? Je, ni kazi zipi hizo nyingine anaweza kufanya na akapata pesa.?

Kama fursa zipo rahs kiasi hicho kungekuwa na rundo la graduates wa IT wanahangaika kila kukicha kupata kazi/fursa..?

Je, una tarifa kuwa wapo graduates wengi waliomaliza na kusubiri kupata ajira / kutafuta fursa na sasa ni zaidi ya miaka mitano na hali yao bado ni ngumu kimaisha na hawajafanikiwa kwa chochote??

Je kama wangeanza na Idea ya kuchoma Mahindi kama huyo ndugu au kwa kufuata analysis hapo juu niloweka wangekuwa kama walivyo?

Sent using Jamii Forums mobile app
Achana na hao mkuu wao mara Bilioni mtu ake nyumbani alishwe hata kama ni miaka 10 kuliko kufanya jambo.

Cha kushangaza jamaa anapata pesa na anakula analipa kodi ya nyumba.

Gradute wako kibao wengine ndo wamejaa humu kupondea kisa wao wako nyumbani.

Hizi Aibu zinatugharimu.

Ndo maana huwa nafagilia sana kuona wachina wanakuja kufanya kazi za kama hizi na na naomba waje kwa wingi mno.



Sent using Jamii Forums mobile app
 
Usidharau kazi kwa kuitazama kwa nje, nina mtu namfahamu kajenga nyumba kwa kuchoma mahindi, kuna mwingine kaanzisha biashara ya hardware kwa mtaji alioupata kwenye biashara ya kuchoma mahindi
 
Unajua kuna Graduate wangapi mtaani?.acha kebehiv. Kuna watu wana miaka 6 wanatafuta kazi wao unawazungumzia vipi?

Nazani niache kuendele na coment makenachosha na coment mfu

Sent using Jamii Forums mobile app
IT akijitolea saccos kwa miezi miwili wakampa nauli na chakula anaweza kuandika application atakayoweza kuuza kwenye mamia ya saccos.
hata akiwapa bure kumaintain hiyo app ingemlipa parefu.

*** chuo alichopitia hakina sifa za kuendelea kuandaa wana taaluma***
 
Wakuu, binafsi ni mfano mzuri sana wa hiyo mada. Nilimaliza chuo UD hapo (Law) kitambo kidogo,, naenda mahakamani najitolea wee hauwakupi hata nauli..nikatafuta mashine ya kukamua juice ya miwa nikaweka hapo Songas kwa machinga nikaanza kaz,,,, kwa siku nilikuwa napata faida 30000 mpaka 35000 baada ya matumizi, nilipiga miezi 4 tu nikamwachia mtu mi nikaruka Songea nimenunua mahindi nasubiri mwez wa 9 nasaga niuze unga..soon nitafungua kiwanda changu naanza kupaki na kuuza unga...we endelea kumdharau anaeuza mahindi!!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wakuu, binafsi ni mfano mzuri sana wa hiyo mada. Nilimaliza chuo UD hapo (Law) kitambo kidogo,, naenda mahakamani najitolea wee hauwakupi hata nauli..nikatafuta mashine ya kukamua juice ya miwa nikaweka hapo Songas kwa machinga nikaanza kaz,,,, kwa siku nilikuwa napata faida 30000 mpaka 35000 baada ya matumizi, nilipiga miezi 4 tu nikamwachia mtu mi nikaruka Songea nimenunua mahindi nasubiri mwez wa 9 nasaga niuze unga..soon nitafungua kiwanda changu naanza kupaki na kuuza unga...we endelea kumdharau anaeuza mahindi!!

Sent using Jamii Forums mobile app
Dah mkuu hongera sana mkuu Hope utafika mbali sana na utakuja kuajiri wanao kebehi humu.

Sasa ukieleza humu utasikia oo hutendei haki Elimu yako.

Mkuu pambana usiangalie watu wanasemaje

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Uko sahihi mkuu. Kuna muuza mahindi mmoja nilikuwa naongea nae siku moja pale mabibo mwisho nilinunua mhindi wakati nimekaa pale nakula nijaribu kumdadisi kuhusu manunuzi ya maindi matumizi na faida yake alichoniambia sikuamini...kwamba ananunua mhindi mmoja kwa 200, anachoma na anakata vipande vitatu @ kipande 200 , kwa siku anauza mahindi(kwa kipindi kile cha mvua) 180 mpaka 200, ananunua mkaa chenga 1500 so Indi moja 200
anauza 600
Faida @ 400
400×200=80,000 per day
Wangapi humu tunapata hiyo pesa kwa siku???
Note; biashara ndogondogo zina faida sana sema wengi wao wanaozifanya hawana malengo na wanaridhika na hali lkn ukifanya kwa malengo inakutoa kwa muda mfupi sana...tuamke jamani aibu yako, umaskini wako.!!





Sent using Jamii Forums mobile app
 
Umeelwa nilicho andika mkuu au umeanza kwa coment kwanza? swala la mtaji ni shida na hapo ni moja ya sehemu ya kukusanya mtaji.

By the way kwan IT hawezi choma mahindi? au unazania ni watu gani wanapaswa kuchoma mahindi?

Na ni watu gani wanakula hayo mahindi?

Kama mtu wa law anaenda kuwa Bank teller why mtu w IT asichome mahindi?

Unajua kwa siku anaingiza how much?

UOGA NA AIBU NDO MUHIMILI MKUU

Sent using Jamii Forums mobile app
Jibu mujjarab kabisa
 
Nyi hata mumtetee but bado ni poor minded.
Labda kama tu ataifanya hio kazi kwa short time.
But in general hizo ni kazi za darasa la saba. Na akilogwa asilaumu mtu.
Mi naomba mtaji tu wa m1 nifungue duka chalii angu
 
Back
Top Bottom