Uyo jamaa anaforce kukuaa mjini.
Yani katika kufikiria kwake kaona achome maindi.
Kama mtu ni kijana anamalengo yake hana ukilema na anakaa mjini anachoma maindi.
Uyo ni mzembe anapenda kubaki town
Kijijini kuna fursa nyingi sana kilimo ata cha jembe la mkono ukikomaa nalo unatoka.
Kijana ukiingia mgodini kwa miezi sita tu ukafanya kazi kwa bidii wenye migodi hii midogo midogo unatoka.
Tatizo wasomi wengi wanasoma mavitabu na quotes za watu wa ulaya alafu wanafanyia application bongo. Hii ni africa iko tofauti sana.
Mnaenda kwenye semina za fursa za. Kinaruge wale wanawashauri muuze karanga za kutembeza town.
Wanaofaidika na izo kazi ni watu wenye mitaji mikibwa kama diamond karanga.
KIJANA NJOO KIJIJINI kama unamalengo kweli huwezi jutia
Sent using
Jamii Forums mobile app