Jana ilikuwa siku ya Furaha kukutana na Graduate anachoma mahindi Barabarani

Jana ilikuwa siku ya Furaha kukutana na Graduate anachoma mahindi Barabarani

Huyo graduate anajitegemea mwenyewe kimaisha?
Anauza shilingi ngapi kwa siku?
Matumizi yake kwa siku ni shilingi ngapi?
Anabakia na shilingi ngapi kwa siku baada ya kutoa kiasi cha pesa anacho tumia kwa matumizi ya kawaida?
Kwa akiba hiyo kwa siku atakua na shilingi ngapi kwa wiki?
Je, anamipango mikubawa zaidi inayotegemea hiyo akiba kutoka kwenye mahindi?
Je, ataitekeleza hiyo mipango kweli kwa akiba hiyo?
tumpongeze/tumuonee huruma graduate mwenzetu.
Kwa nini asitekeleze? Shida zenu mnataja mtu aanze biashara January then December ikiwezakana anunue ndege.

Au basi awe na Benzi.

Ndo malengo yake anaishi anavyo taka na ana plan zake na atatekeleza kwa sababu ana comitment

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kuna uwezekano mkubwa sana huyo mtu ni wewe maana kama unasem atutakuja mpongeza maana yake huyo mtu anaweza kuwa ni wewe
Kama ni mimi ni Zambi? comment zako zinaonekana ni mweupe sana kichwani.

Na nataka kuongea na Mod watatengeneza jukwaa maalumu dogo humuhumu wataingia watu wenye uwezi mkubwa si watu kama wewe

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Umeelwa nilicho andika mkuu au umeanza kwa coment kwanza? swala la mtaji ni shida na hapo ni moja ya sehemu ya kukusanya mtaji.

By the way kwan IT hawezi choma mahindi? au unazania ni watu gani wanapaswa kuchoma mahindi?

Na ni watu gani wanakula hayo mahindi?

Kama mtu wa law anaenda kuwa Bank teller why mtu w IT asichome mahindi?

Unajua kwa siku anaingiza how much?

UOGA NA AIBU NDO MUHIMILI MKUU

Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu safi sana wale wanaojifanya wana CV watasubiri saana

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Huyu jamaa anajaribu kuwaaminisha watu kuwa huyu kaona fursa wakati hiyo si fursa, hapo kuna uwezekano huyo mwana IT hakuwa vizuri darasani au alifeli au hakuelewa nin anasomea

Kuna Dada mmoja amesoma Masscommication alinifuata siku moja nikamshauri aanze kuuza mayai ya kuku barabarani kwakweli ilikuwa kazi ngumu.

Ila dada alipiga moyo konde akaanza kuuza.
Nilimpatia Trei 5 aauze ndo alete pea akuzua na kuleta nikampa 7 akauza akaleta akaanza kuwa ananunua kwa pesa yake.

Baadae akawaza kupack hayo mayai.
Kwa sasa ana tenda sehemu moja kuhwa mno kiasi kwamba anataka kuikimbia.

Sasa kaaa ukitumikishwa ukizania ndo ujanja
Eleza wewe na anaye choma mahindi una mzidi nini?
Au unamsizi simu?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hivi kwa nini watu wanabeza kuchoma mahindi??au kwa jili MTU upo barabarani anapuliza moto.Tupige mahesabu jamani.Hapa ni pesa kama anapata na ziada na wewe wa ifisini unapata the same shida IPO wapi.After all wote hatuwezi kuwa Ofisini.Na mahindi wengi tunapenda kuyatafuna hence kipato kwao

Sent using Jamii Forums mobile app
Kazi ya kijungu jiko hiyo, mpaka serikali inapata hasara !
 
Watu wengi humu wanajidai ni graduate lakini elimu zao hazijawasaidia!
 
IT ameshindwa kujiongeza hata akaanza kutengeneza simu?
Hata hilo swala la kuchoma mahindi kajiongeza pia...ukipiga mahesabu ya mtaji wa mahindi na mtaji wa kufungua ofisi ya kutengeneza simu utachagua unapopaweza tu...[emoji535] [emoji535] [emoji535] [emoji111] [emoji111] [emoji111]
 
Chasha Poultry Farm achana na watu wenye poor mindset, wao wanaamini kazi hadi ukae kwenye kiyoyozi...

mdogo wangu anaprint tshirt ndie mwenye tshirt garage mabibo hostel maarufu sana huko instagram
anapiga hela hadi kaka zake tulioajiriwa tunamuonea wivu.. kila siku anaingiza hela tena kipindi hiki hiki cha magu ila yeye anapiga hela tu...

sisi tumebaki na viajira vya kinyonyaji...

najua hata mchoma mahindi akiwa na mbinu anapiga sana hela





 
Safi sana. Sema inaumiza unapokuta wasomi kama hawa wanachwa wakihangaika hivi halafu unakuta mjinga mmoja mwenye zero yake safiii amekalia ofisi kubwa anatamba na kuwapangia wasomi cha kufanya na hata akipenda anaweza kuamuru msomi nwenye digrii zake alizosotea kwa shida awekwe ndani kwa saa 48 This is not fair!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ni asali mbichi au iliyochemshwa? Hukuichakachua? Pia naweza kupata isiyokamuliwa ile iliyokuwa kwenye majumba ya Nyuki?
Ni mbichi kabisa mkuu, nauza kwa bei ya jumla. Hata ukitaka kuamini unaweza nicheki whatsap 0768676277. Nipo tegeta nyuki stendi. Hiyo unayosema mpaka niulize kwa anaye nitumia

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nipongezeni na mimi graduate lakini kondakta wa daladala.... Maisha yanatufanya tuweke usharo pembeni tupambane.

Sent from my Siemens kidole juu using JamiiForum mobile app.
Sio maisha ni kazi na unaweza fika mbali kabisa na kumiliki mabasi yako mwenyewe one Day.

Kikubwa ni jitihada mkuu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
IT ameshindwa kujiongeza hata akaanza kutengeneza simu?
Kutengeneza simu kunalipa kuliko kuchoma mahindi? Inawezekana kuwa hataki lawama maana mtu anakuletea simu ya 500k halafu inashindikana kutengemaa au ndio anaiharibu mazima.

Vv
 
Wengi Jf yawezekana ni vijana graduates au bado wako colleges. Nakumbuka nikiwa college tulikuwa tunapanga mshahara wa kazi baada ya kumalizia kuwa college kuwa bila take home from 1ml sitaki hiyo kazi. Kuja mtaani mpaka kazi ya 250k ikawa shughuli. Cha kwanza tujifunze kwa walioko mbele yetu. Cha pili tukumbuke hata kama unaajira ipo siku utastaafu. Ukistaafu lazima uje uishi mtaani kama huyu anaeuza mahindi. Kumbuka ajira miaka 30 unakuta mwezako anauzoefu as mtaani miaka 30. Kumbuka unarudi na kiunua mgongo halafu unafanya mtaji. Kununua unaweza anza biashara ikafelu. Kumbuka mwezako alikosea mara ngapi, ndani ya miaka 30 atakosea sana ila ipo atakuwa amelearn mistake. Kumbuka pressure nyingi ni wastaafu wa ajira.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom