Clark boots
JF-Expert Member
- Jun 5, 2017
- 6,770
- 6,202
Hilo hindi mate yananitoka mkuu..
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kuna mchangiaji kamuambia mleta mada anafurahisha genge !Mkuu inaonekana huna idea na biashara.
Yan kuchoma maindi unaweza kukusanya mtaji?????
Na apo ukiwa unajitegemea kila kitu
Mkuu utatafuta mchawi wakati mchawi ni akili zako
Piga kwanza hesabu kwa siku anakusanya faida kiasi gan toa matumiz yake ya kila siku.
Uyo graduator kapote
Sent using Jamii Forums mobile app
Kijana ana hasira na kila anayemchallenge.
May Allah bless Me and You
Wewe umeleta siasa tu humu huna lolotee !Kitu kizuri ni kipi? Ninge sema anauza Magari je? ingekuwa kitu kibaya au kizuri?
Shida humu nabishana na wafanya kazi so mawazo lazima yawe kama ya kwako.
Sent using Jamii Forums mobile app
Ndo biashara unayo jua kisa kila mtu anafanya?
Subilia siku moja mtarudi humu kumpongeza jamaa.
Sent using Jamii Forums mobile app
Nmekuelewa mkuu ila sio wote ni watumiaji wa jf, pia ukumbuke huku mtu akija kuomba msaada anaweza akadhaniwa ni tapeli au watu wakamdhihaki maana huku kuna watu wenye akili tofautisio kweli. sio lazima uanze na kuflash smart phone.. angeanza na kutengeneza vitoch.. kwa hio laki hawezi kukosa desktop..hata angekuja hapa JF mimi ninngeweza kumpa hio desktop ya kuanzia.. afu badae angejiongeza mwenyewe ila kuchoma mahindi ni kuwa KIAZI
Usihukumu wala hakuna jambo la kushangaza ,tunaishi ktk mazingira tofauti sana,lile ambalo kwako ni gumu kulitenda kutokana na mazingira uliyokulia kwa mwenzio ni rahisi,yawezekana wewe unaamka ukiwa na uhakika wa milo yote mitatu,mwenzio hana ba wala te,kwa mazingira haya si jambo geni kukuta mtu anaamua kujitafutia rizk kwa njia yoyote halal kabisa. Nakumbuka miaka michache iliyopita east afrika tv walishare picha ya kijana mmoja graduate wa diploma ya accountancy akiokota makopo ya kuuza kukikdhi mahitaji. Lile tukio liliwagusa wengi sana na alipata masaada toka kwa watu mbalimbali Sina hakika na stori ya mleta mada ila siwezi kumbishia kwa mazingira tuliyonayo sasa kila jambo linawezekanaHuyu jamaa anajaribu kuwaaminisha watu kuwa huyu kaona fursa wakati hiyo si fursa, hapo kuna uwezekano huyo mwana IT hakuwa vizuri darasani au alifeli au hakuelewa nin anasomea
Hivi kwa nini watu wanabeza kuchoma mahindi??au kwa jili MTU upo barabarani anapuliza moto.Tupige mahesabu jamani.Hapa ni pesa kama anapata na ziada na wewe wa ifisini unapata the same shida IPO wapi.After all wote hatuwezi kuwa Ofisini.Na mahindi wengi tunapenda kuyatafuna hence kipato kwaoMentality za kimasikini mno. Endelee kushangaa kuna siku utaenda kuomba kazi kwake wewe au ndugu yako au watoto wako. Endelea kushangaa
Sent using Jamii Forums mobile app
Siunaona alivyo uchoma huo muhindi unatamanisha kuliko ile kitu!!IT ameshindwa kujiongeza hata akaanza kutengeneza simu?
Kwani mtaalamu wa IT ni kutengeneza simu tu. Hata uchomaji mahindi unahitaji pia ITIT ameshindwa kujiongeza hata akaanza kutengeneza simu?
Watu wenye comment kama hizi inabidi nisajibu wewe ndo wa mwisho kujibu.Sasa yeye kukosa kazi na kuanza kuchoma mahindi ndo siku yako ya furaha??
galaxy s8
Unajua malengo yake? unajua kilicho kichwani mwake? unajua anataka kufanya nini?Watu hawabezi au kumbeza mhusika, ila watu wanaangalia kozi aliyosomea na hicho anachofanya.... IT is all practical kuna mengi mtu anaweza fanya kwa elimu ya practical
Ni asali mbichi au iliyochemshwa? Hukuichakachua? Pia naweza kupata isiyokamuliwa ile iliyokuwa kwenye majumba ya Nyuki?Wanaobeza wana kazi zao na wengine ni graduate ambao wanazurula na vyeti hata huo mtaji wa mahindi hawana, wwngine wapo kwa wazazi wakiendelea kutumwa dukani kununua chumvi na mkaa, bado wanaendelea kuchambua mboga aliyoleta mama, kujiongeza hawataki kwani ni waoga, humu wanajifanya kuponda kazi ya mwenzao. Tumpe moyo hatujui kesho atakuwa wapi.
Mi nauza Asali ya mpanda lita sh 8000. Nipo Dar tegeta nyuki. Kwa mawasiliano njoo pm
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji106] [emoji106]Hivi kwa nini watu wanabeza kuchoma mahindi??au kwa jili MTU upo barabarani anapuliza moto.Tupige mahesabu jamani.Hapa ni pesa kama anapata na ziada na wewe wa ifisini unapata the same shida IPO wapi.After all wote hatuwezi kuwa Ofisini.Na mahindi wengi tunapenda kuyatafuna hence kipato kwao
Sent using Jamii Forums mobile app