Saint Ivuga
JF-Expert Member
- Aug 21, 2008
- 54,762
- 59,204
Njoo uchukue. Ola nakupa laki 9 na nusuMi naomba mtaji tu wa m1 nifungue duka chalii angu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Njoo uchukue. Ola nakupa laki 9 na nusuMi naomba mtaji tu wa m1 nifungue duka chalii angu
Umeambiwa anatafuta mtaji mkuu, labda ndio apate vitendendea kazi tena hivyo vya kutengenezea simu ndio mpaka computer uwe nayo siku hizi maana wateja wengi wamenunua smart phone, sasa ukishindwa kuwahudumia hao utakuwa unakosavpesa nyingi sana!IT ameshindwa kujiongeza hata akaanza kutengeneza simu?
Basi siku nyingine uache kudandia treni kwa mbele na uache kiherehere huyo niliemwambia hivo unajua tunafahamianaje?
Halafu uwe na adabu next time sio unaparamia tu yasikuhusu...
Ww ni dogo tu na hakuna unachokijua..inshort ni danga unakujaje kuomba hela kwenye forum ya Chalsa ze great thinker???????Basi siku nyingine uache kudandia treni kwa mbele na uache kiherehere huyo niliemwambia hivo unajua tunafahamianaje?
Halafu uwe na adabu next time sio unaparamia tu yasikuhusu...
Dogo tena kama kawaida yako.nazani umetumwa wewe nionyeshe post zako hata moja ya maana na ulio pata wachangiaji. Mnakuwa wajinga na utoto sana.Acha umarioo dogo..unasapoti upupu hapa
Uwezo wa kujenga hoja huna? Anzisha mada kupingana na hiki ndo wajanja wanafanya na kama huna uwezo huo basi kaaa kimya achia wenye uwezo usidhani kuanzisha post na kupata wachangiaji ni kazi ndogo.Ww ni dogo tu na hakuna unachokijua..inshort ni danga unakujaje kuomba hela kwenye forum ya Chalsa ze great thinker???????
Kama bado hajakutumia sema nikupe double ya iyo hela
Wachina wangekuwa wanapita humu wangefurahi sana kuona uwezo wetu ulivyo wa kiwango cha chini kabisa kuwahi kushuhudiwa Duniani.FUNDI HAWEZI KUWA MCHOMA MAHINDI HATA SIKU MOJA
Kweli nimeamini humu hamna great thinkers. .hawaelewi kwamba unaweza kusanya mtaji mkubwa kutoka kwenye small business? ??Vipi kiuza Magari ndo unaweza kusanya mtaji?
Hahahaa nina case nyingi naweza kukupatia za ushuhuda. Shida zetu tunaamini kwenye biashsra ni ya Magari kuuza au Kuuza TV.
Unajua mfumo wa biashara wa Cocacola au Pepsi?
Sent using Jamii Forums mobile app
Nakuona nakuona[emoji102] [emoji102] [emoji102]Embu nichum kwanza, huku ukininon'goneza nani huyo anakutukana
pale karikoo kuna vijana wanafanya kazi za IT tena ni wadarasa la 7 je wamewezaje kumshinda msomi kama huyoWachina wangekuwa wanapita humu wangefurahi sana kuona uwezo wetu ulivyo wa kiwango cha chini kabisa kuwahi kushuhudiwa Duniani.
Sent using Jamii Forums mobile app
nakukumbuka ujueKweli nimeamini humu hamna great thinkers. .hawaelewi kwamba unaweza kusanya mtaji mkubwa kutoka kwenye small business? ??
Hawa ndio wasomi wetu mkuu..sio kosa lao ni kosa la mwalimu wao aliyewakaririsha kwamba maisha nikuajiriwa au kupewa mtaji wakuuza magari.
Kuna mtu Arusha anauza karanga amejenga hadi nyumba za wapangaji..
Lkn msomi wetu analipwa laki4 kwa mwezi nyumba yakupanga anaona yeye ndio anamaisha.
Kweli Mungu awafungue tu izo akili zao ..
Sent using Jamii Forums mobile app
Usha wahi kujiuliza kwa nini Ma profesa wakistafu wanalilia kufanya kwa mikataba?pale karikoo kuna vijana wanafanya kazi za IT tena ni wadarasa la 7 je wamewezaje kumshinda msomi kama huyo
Mkuu umenena. Naiger kuna graduates wengi nilikutana nao ni makondakta wa kwenye magari achilia mbali hao madereva. Nchi yao ina wasomi wengi kuliko uhitaji wa soko. Lakini pia hata bongo magari mengi ya mikoani sikuhizi kukutana na graduate siyo jambo la ajabu. Nilishakutana na mmoja ninayemfahamu kampuni ya Ibra lines.Wale wachina kule Kariakooo unawaona vipi?
Usha fika Nigeria mkuu? We acha kule Udreva tu kuna watu wana Phd ndo Madreva.
Subilibi baada ya muda hizi story hazitakuwepo kwamwe.
Ni swala la.wakati
Sent using Jamii Forums mobile app
Labda IT wa China, sisi wa St. Mary 's University sijui DSMU tutaishia kufanya kazi kama hizo tukijitahidi sana ni U Secretary. Tunaisoma namba woteIT ameshindwa kujiongeza hata akaanza kutengeneza simu?
Nisha eleza anakusanya mtaji, Hajasema hatafanyaHuyu elimu hsijamsaidia kiti chochote. Unasoma IT unashindwa kuwa innovative???
Mkuu kwa sasa House Girl Form six wapo hadi mtu ana Diploma yake. ni swala la muda tuMkuu umenena. Naiger kuna graduates wengi nilikutana nao ni makondakta wa kwenye magari achilia mbali hao madereva. Nchi yao ina wasomi wengi kuliko uhitaji wa soko. Lakini pia hata bongo magari mengi ya mikoani sikuhizi kukutana na graduate siyo jambo la ajabu. Nilishakutana na mmoja ninayemfahamu kampuni ya Ibra lines.
Sent using Jamii Forums mobile app