bikira latifah
JF-Expert Member
- Oct 27, 2016
- 836
- 2,805
Jana saa 2 kivukoni umetokea ugomvi wa kupigana yaani dereva kakunjwa shati , mmama alipanda na mtoto gari likajaa full wakamshauri dereva apitilize ferry hali ni mbaya dereva akasimama posta ya zamani akashindilia abiria tena alafu akawa anaendesha huku anapiga breki ili milango ifuge watu washindiliwe ndani kumbe ile kupiga breki watu wakadondoka wakalalia kile kichanga nusu kife yule mama akapiga makelele mwanangu anakufaaa nisaidieni
Gari kufika ferry watu kushuka wamama wawili wenye watoto wachanga wakamfuata dereva zikaanza ngumi jamani hii nchi hapana
Abiria nao wakaununua ugomvi yule udereva nusu auliwe
Gari kufika ferry watu kushuka wamama wawili wenye watoto wachanga wakamfuata dereva zikaanza ngumi jamani hii nchi hapana
Abiria nao wakaununua ugomvi yule udereva nusu auliwe