Jana limetokea tukio la ugomvi wa dereva na mwanamke kwenye mwendokasi wameshikana mashati

Jana saa 2 kivukoni umetokea ugomvi wa kupigana yaani dereva kakunjwa shati , mmama alipanda na mtoto gari likajaa full wakamshauri dereva apitilize ferry hali ni mbaya dereva akasimama posta ya zamani akashindilia abiria tena alafu akawa anaendesha huku anapiga breki ili milango ifuge watu washindiliwe ndani kumbe ile kupiga breki watu wakadondoka wakalalia kile kichanga nusu kife yule mama akapiga makelele mwanangu anakufaaa nisaidieni

Gari kufika ferry watu kushuka wamama wawili wenye watoto wachanga wakamfuata dereva zikaanza ngumi jamani hii nchi hapana

Wewe kilaza badala kusaidia wenzio unakuja hapa kutingisha tutako twako kama ngumi na dela lako limepauka.
 
Nimepita mbezi mwisho kama ½ saa hivi, hiyo nyomi hapo ni hatari, ni ishara mbaya sana kwa mtu kuitwa kiongozi na watu wako wanateseka namna hii.
Na cha ajabu zile mwendokasi za rangi ya kijani tayari zipo bandarini muda tu sijui wanangoja nini kuzitoa na wananchi wanazidi kuteseka.
 
Jana saa 2 kivukoni umetokea ugomvi wa kupigana yaani dereva kakunjwa shati , mmama alipanda na mtoto gari likajaa full wakamshauri dereva apitilize ferry hali ni mbaya dereva akasimama posta ya zamani akashindilia abiria tena alafu akawa anaendesha huku anapiga breki ili milango ifuge watu washindiliwe ndani kumbe ile kupiga breki watu wakadondoka wakalalia kile kichanga nusu kife yule mama akapiga makelele mwanangu anakufaaa nisaidieni

Gari kufika ferry watu kushuka wamama wawili wenye watoto wachanga wakamfuata dereva zikaanza ngumi jamani hii nchi hapana

Abiria nao wakaununua ugomvi yule udereva nusu auliwe

"Gari kufika ferry watu kushuka wamama wawili wenye watoto wachanga wakamfuata dereva zikaanza ngumi jamani hii nchi hapana"

Nimepende hii
 
Jana saa 2 kivukoni umetokea ugomvi wa kupigana yaani dereva kakunjwa shati , mmama alipanda na mtoto gari likajaa full wakamshauri dereva apitilize ferry hali ni mbaya dereva akasimama posta ya zamani akashindilia abiria tena alafu akawa anaendesha huku anapiga breki ili milango ifuge watu washindiliwe ndani kumbe ile kupiga breki watu wakadondoka wakalalia kile kichanga nusu kife yule mama akapiga makelele mwanangu anakufaaa nisaidieni

Gari kufika ferry watu kushuka wamama wawili wenye watoto wachanga wakamfuata dereva zikaanza ngumi jamani hii nchi hapana

Abiria nao wakaununua ugomvi yule udereva nusu auliwe
Hii ndiyo CCM inayotaka itutawale milele,hakuna wanachojua zaidi ya kuiba
 
Back
Top Bottom