Ms R
JF-Expert Member
- Jan 19, 2023
- 10,647
- 23,282
sasa kwa izo vita mi ningekua marehemu kitambo sana 🤣Ndo raha huku kumechangamka, vita muda wowote 😂
sasa kwa izo vita mi ningekua marehemu kitambo sana 🤣Ndo raha huku kumechangamka, vita muda wowote 😂
Na ww ungejifunza ukomandosasa kwa izo vita mi ningekua marehemu kitambo sana 🤣
Mi niache nilime viazi tuNa ww ungejifunza ukomando
Uvivu tu, ferry mpaka mbezi pana umbali gani?Hii hali nimeiahuhudia sana kwenye usafiri wa umma mara kadhaa.
Usafiri Dar es Salaam bado ni changamoto kubwa.
Kwa baadhi ya mikoa shida sio foleni, shida ni uhaba wa vyombo vya usafiri.
Kwa Dar es Salaam, foleni ni shida na vyombo vya usafiri pia ni shida. Usipotaka kuminyana na huna jero kwenda juu miguu lazima iote sugu na ugimbi utoke....😔😔😔.
Ushaambiwa raia wamenunua ugomvi.Badala muungane mmtandike huyo dereva mmnawaachia wamama tena wenye watoto. Fala nyie
Hamna daladala nyingine za kupanda zaidi ya mwendokasi.Jana saa 2 kivukoni umetokea ugomvi wa kupigana yaani dereva kakunjwa shati , mmama alipanda na mtoto gari likajaa full wakamshauri dereva apitilize ferry hali ni mbaya dereva akasimama posta ya zamani akashindilia abiria tena alafu akawa anaendesha huku anapiga breki ili milango ifuge watu washindiliwe ndani kumbe ile kupiga breki watu wakadondoka wakalalia kile kichanga nusu kife yule mama akapiga makelele mwanangu anakufaaa nisaidieni
Gari kufika ferry watu kushuka wamama wawili wenye watoto wachanga wakamfuata dereva zikaanza ngumi jamani hii nchi hapana
Abiria nao wakaununua ugomvi yule udereva nusu auliwe
Wanaume wa dar utawaweza mkuu?Badala muungane mmtandike huyo dereva mmnawaachia wamama tena wenye watoto. Fala nyie
Walitakiwa wamtandike viboko mpaka wakina ChoiceVariable na chiembe walete magari mengine bila porojo.Jana saa 2 kivukoni umetokea ugomvi wa kupigana yaani dereva kakunjwa shati , mmama alipanda na mtoto gari likajaa full wakamshauri dereva apitilize ferry hali ni mbaya dereva akasimama posta ya zamani akashindilia abiria tena alafu akawa anaendesha huku anapiga breki ili milango ifuge watu washindiliwe ndani kumbe ile kupiga breki watu wakadondoka wakalalia kile kichanga nusu kife yule mama akapiga makelele mwanangu anakufaaa nisaidieni
Gari kufika ferry watu kushuka wamama wawili wenye watoto wachanga wakamfuata dereva zikaanza ngumi jamani hii nchi hapana
Abiria nao wakaununua ugomvi yule udereva nusu auliwe
Wanaume wa Dar 🤣🤣ni huzuni 😜Jana saa 2 kivukoni umetokea ugomvi wa kupigana yaani dereva kakunjwa shati , mmama alipanda na mtoto gari likajaa full wakamshauri dereva apitilize ferry hali ni mbaya dereva akasimama posta ya zamani akashindilia abiria tena alafu akawa anaendesha huku anapiga breki ili milango ifuge watu washindiliwe ndani kumbe ile kupiga breki watu wakadondoka wakalalia kile kichanga nusu kife yule mama akapiga makelele mwanangu anakufaaa nisaidieni
Gari kufika ferry watu kushuka wamama wawili wenye watoto wachanga wakamfuata dereva zikaanza ngumi jamani hii nchi hapana
Abiria nao wakaununua ugomvi yule udereva nusu auliwe
Vizuri sana... usiache kutumia fursa ya kupunguza hasira na stress..Jana saa 2 kivukoni umetokea ugomvi wa kupigana yaani dereva kakunjwa shati , mmama alipanda na mtoto gari likajaa full wakamshauri dereva apitilize ferry hali ni mbaya dereva akasimama posta ya zamani akashindilia abiria tena alafu akawa anaendesha huku anapiga breki ili milango ifuge watu washindiliwe ndani kumbe ile kupiga breki watu wakadondoka wakalalia kile kichanga nusu kife yule mama akapiga makelele mwanangu anakufaaa nisaidieni
Gari kufika ferry watu kushuka wamama wawili wenye watoto wachanga wakamfuata dereva zikaanza ngumi jamani hii nchi hapana
Abiria nao wakaununua ugomvi yule udereva nusu auliwe
Kwa Sasa usafir hivi, zidisha 2000 kwenye bajeti Yako ya usafir panda daladala mpaka shekilango, chukua pikipiki mpaka kibo 2,000, apite pembeni ya lami, ukifika hapo Ingia mwendokasi, sababu Kila gar ikitoka Ima Morocco au kkoo, au kivukoni inaanza kushusha hapo na unaondoka faster kabisa, vinginevyo ni majanga. Au panda daladala mpaka shekilango, hapo Bajaj ni Ima 2500, au 3000 mpaka mbezi, utazidisha 2500 ktk bajeti Yako ya kawaida, kuhusu usalama wa Bajaj ni wewe na Mola wako umuombe akufikishe salama.Jana saa 2 kivukoni umetokea ugomvi wa kupigana yaani dereva kakunjwa shati , mmama alipanda na mtoto gari likajaa full wakamshauri dereva apitilize ferry hali ni mbaya dereva akasimama posta ya zamani akashindilia abiria tena alafu akawa anaendesha huku anapiga breki ili milango ifuge watu washindiliwe ndani kumbe ile kupiga breki watu wakadondoka wakalalia kile kichanga nusu kife yule mama akapiga makelele mwanangu anakufaaa nisaidieni
Gari kufika ferry watu kushuka wamama wawili wenye watoto wachanga wakamfuata dereva zikaanza ngumi jamani hii nchi hapana
Abiria nao wakaununua ugomvi yule udereva nusu auliwe
Bado mkurugenzi wa mwendokasi anaambiwa anaupiga mwingi pamoja na changamoto zoteHii hali nimeiahuhudia sana kwenye usafiri wa umma mara kadhaa.
Usafiri Dar es Salaam bado ni changamoto kubwa.
Kwa baadhi ya mikoa shida sio foleni, shida ni uhaba wa vyombo vya usafiri.
Kwa Dar es Salaam, foleni ni shida na vyombo vya usafiri pia ni shida. Usipotaka kuminyana na huna jero kwenda juu miguu lazima iote sugu na ugimbi utoke....😔😔😔.
Kichanga cha MAZA.Jana saa 2 kivukoni umetokea ugomvi wa kupigana yaani dereva kakunjwa shati , mmama alipanda na mtoto gari likajaa full wakamshauri dereva apitilize ferry hali ni mbaya dereva akasimama posta ya zamani akashindilia abiria tena alafu akawa anaendesha huku anapiga breki ili milango ifuge watu washindiliwe ndani kumbe ile kupiga breki watu wakadondoka wakalalia kile kichanga nusu kife yule mama akapiga makelele mwanangu anakufaaa nisaidieni
Gari kufika ferry watu kushuka wamama wawili wenye watoto wachanga wakamfuata dereva zikaanza ngumi jamani hii nchi hapana
Abiria nao wakaununua ugomvi yule udereva nusu auliwe
Fikiri kabla ya kunena mkuu,sio wote wanamudu usafiri unaofikiria ungefaa kwa hicho kichanga.Tena mtu ana mtoto mchanga bado unakapandisha mwendo kasi katoto kwa video zile tunaziona mtandaoni si ukichaa huo.
October ili watiki 😂Na cha ajabu zile mwendokasi za rangi ya kijani tayari zipo bandarini muda tu sijui wanangoja nini kuzitoa na wananchi wanazidi kuteseka.
Uwezo si wote wataweza kumudu usafiri mbadalaTena mtu ana mtoto mchanga bado unakapandisha mwendo kasi katoto kwa video zile tunaziona mtandaoni si ukichaa huo.
Anavyo bananishwa, wallah ikitokea moto hamna atakae tokaHao madereva wanakosea sana kwanza usalama ni mdogo mno ikitokea mwendokasi imeshika moto