Hismastersvoice
JF-Expert Member
- Jan 26, 2013
- 24,523
- 30,084
Mwendokasi haina foleni.Hii hali nimeiahuhudia sana kwenye usafiri wa umma mara kadhaa.
Usafiri Dar es Salaam bado ni changamoto kubwa.
Kwa baadhi ya mikoa shida sio foleni, shida ni uhaba wa vyombo vya usafiri.
Kwa Dar es Salaam, foleni ni shida na vyombo vya usafiri pia ni shida. Usipotaka kuminyana na huna jero kwenda juu miguu lazima iote sugu na ugimbi utoke....😔😔😔.