bikira latifah
JF-Expert Member
- Oct 27, 2016
- 836
- 2,805
Huyo angekunjwa shatiJana saa 2 kivukoni umetokea ugomvi wa kupigana yaani dereva kakunjwa shati , mmama alipanda na mtoto gari likajaa full wakamshauri dereva apitilize ferry hali ni mbaya dereva akasimama posta ya zamani akashindilia abiria tena alafu akawa anaendesha huku anapiga breki ili milango ifuge watu washindiliwe ndani kumbe ile kupiga breki watu wakadondoka wakalalia kile kichanga nusu kife yule mama akapiga makelele mwanangu anakufaaa nisaidieni
Gari kufika ferry watu kushuka wamama wawili wenye watoto wachanga wakamfuata dereva zikaanza ngumi jamani hii nchi hapana
picha walivyoshikana na kukunjanaJana saa 2 kivukoni umetokea ugomvi wa kupigana yaani dereva kakunjwa shati , mmama alipanda na mtoto gari likajaa full wakamshauri dereva apitilize ferry hali ni mbaya dereva akasimama posta ya zamani akashindilia abiria tena alafu akawa anaendesha huku anapiga breki ili milango ifuge watu washindiliwe ndani kumbe ile kupiga breki watu wakadondoka wakalalia kile kichanga nusu kife yule mama akapiga makelele mwanangu anakufaaa nisaidieni
Gari kufika ferry watu kushuka wamama wawili wenye watoto wachanga wakamfuata dereva zikaanza ngumi jamani hii nchi hapana
Dar ukiwa na gari shida, ukiwa huna ni shida zaidi.Hii hali nimeiahuhudia sana kwenye usafiri wa umma mara kadhaa.
Usafiri Dar es Salaam bado ni changamoto kubwa.
Kwa baadhi ya mikoa shida sio foleni, shida ni uhaba wa vyombo vya usafiri.
Kwa Dar es Salaam, foleni ni shida na vyombo vya usafiri pia ni shida. Usipotaka kuminyana na huna jero kwenda juu miguu lazima iote sugu na ugimbi utoke....😔😔😔.
Nimewaelewa hao wamama...uchungu wa mtoto...Jana saa 2 kivukoni umetokea ugomvi wa kupigana yaani dereva kakunjwa shati , mmama alipanda na mtoto gari likajaa full wakamshauri dereva apitilize ferry hali ni mbaya dereva akasimama posta ya zamani akashindilia abiria tena alafu akawa anaendesha huku anapiga breki ili milango ifuge watu washindiliwe ndani kumbe ile kupiga breki watu wakadondoka wakalalia kile kichanga nusu kife yule mama akapiga makelele mwanangu anakufaaa nisaidieni
Gari kufika ferry watu kushuka wamama wawili wenye watoto wachanga wakamfuata dereva zikaanza ngumi jamani hii nchi hapana
Tena mtu ana mtoto mchanga bado unakapandisha mwendo kasi katoto kwa video zile tunaziona mtandaoni si ukichaa huo.Mwendo Kasi sio usafiri isee !! Na wanaopanda heshima kwao.
Halafu hapo hapo kuna bango linasema "Mama Kaboresha Usafiri". 😂😂😂Nimepita mbezi mwisho kama ½ saa hivi, hiyo nyomi hapo ni hatari, ni ishara mbaya sana kwa mtu kuitwa kiongozi na watu wako wanateseka namna hii.
Kwa muda niliokaa hapa jamvini sijapata kukuona ukitukukana mama na kwa hili nadiriki kusema limekuudhi mno.Badala muungane mmtandike huyo dereva mmnawaachia wamama tena wenye watoto. Fala nyie
Hawajitambui hao..Tena mtu ana mtoto mchanga bado unakapandisha mwendo kasi katoto kwa video zile tunaziona mtandaoni si ukichaa huo.
Ukiona mtu anasema hivyo we jua tu huyo anakula, anashiba, ananeemeka na hajali wengine na njaa zao...kifupi amekula pilau akanawa mdomo na kuufuta vizuri, anataka nyongeza 🤣🤣Halafu hapo hapo kuna bango linasema "Mama Kaboresha Usafiri". 😂😂😂