Jana mechi ya Chelsea na Man City, Guardiola tena kaonesha ubaguzi hadharani

Mgerasi wangu hujambo?
 
Yani unatafsiri ubaguzi wa rangi based on substitution?

Uko serious broh?
 
Yani unatafsiri ubaguzi wa rangi based on substitution?

Uko serious broh?
Mkuu hapa jamvi linachangamshwa tu. Natafuta mnyonge tu nimuwin kisaikojia lakini hakuna yeyote anayejitokeza kunitukana basi naumiaa. Yani watu wakinipotezea hivi naumia kichiz lakini nikitukanwa nafurahi nakurukaruka huku niki punch the air violently with jubilation mzuka unapanda balaa.

In short i like how i live My fuckin life.

adriz Chaliifrancisco The Icebreaker raraa reree Mufti kuku The Infinity Glenn
 
Uzi ufungwe hapa.
 
Sio kweli kabisa jana doku game ilimshinda halishindwa kabisa kufulukuta mbele ya james. Sub zote za gadiora zilikua tactical hata ile ya kumtoa alvarez kumpeleka uwanjan kovavic ni kwa sababu rodri alikua anapata shida kutuliza mikimbio ya ze bluz peke yake maana partner wake pale kati ni bernado silva ambae sio mkabaji. Yote kwa yote game ilikua tamu sana magoli ya kutosha ingawa man city wamenichania mkeka wangu maana niliwapa win.
 
Watu weusi wakati mwingine tunaendekeza kulia lia tu. Mchezaji kaanzishwa tangu mwanzo iweje umlaumu kocha. Je huyo aliyeingia kipindi cha pili atasemaje? Licha ya hivyo Grealish ni fundi na mtulivu ndani ya 18, Doku papatu nyingi na James alikuwa kamdhibiti vizuri tu.
 
Yule grealish bishoo sana na yule nahisi anacheza mpira na pombe maana ana hasira sana.
 
Angalau kidogo nimesoma comment ya mtu anayeujua mpira
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…