Fortyseven
JF-Expert Member
- Oct 30, 2020
- 1,129
- 2,142
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kati ya kumhamisha na kumfanyia sub kipi kinaonesha kuwa mchezaji hapendwi?Naona hujaelewa nilichoandika. Wapi nimezungumzia maswala ya uhamisho hapo. Yaani watu kama nyie ndio huwa mnafanya Afrika tunadharaulika.
Aliyemsajili doku ni nani?!
Mgerasi wangu hujambo?
Yani unatafsiri ubaguzi wa rangi based on substitution?
Kama mleta mada anasema, jamaa alianzishwa kama geresha/kuzuga. Basi hata kusajiliwa, jibu lake litakuwa ni ilo ilo tu.Aliyemsajili doku ni nani?!
Mkuu hapa jamvi linachangamshwa tu. Natafuta mnyonge tu nimuwin kisaikojia lakini hakuna yeyote anayejitokeza kunitukana basi naumiaa. Yani watu wakinipotezea hivi naumia kichiz lakini nikitukanwa nafurahi nakurukaruka huku niki punch the air violently with jubilation mzuka unapanda balaa.Yani unatafsiri ubaguzi wa rangi based on substitution?
Uko serious broh?
Wee dogo wa kula tunda kimasikhara unanichekesha.sasa watu wanacheza mpiraa yeye ana dive ni mashindano ya kuogelea yale????
Uzi ufungwe hapa.Binafsi nahisi Doku alitolewa mchezoni baada Yellow Card aliyopewa kwa kosa la kujiangusha. Huenda Guardiola aliona Doku anaweza asiperform vzuri tena coz kama kaaibishwa flani hivi. Kitendo cha Doku kuanza na kumuach Jack bench tayari hyo ni respect. Pia Grealish anakaba kuliko Doku kwa mechi ile ya jana alifaa kupunguza kasi.
Anataka kuanzisha ligi yake mwenyewe ajikabidhi kombe!Kama mleta mada anasema, jamaa alianzishwa kama geresha/kuzuga. Basi hata kusajiliwa, jibu lake litakuwa ni ilo ilo tu.
Sio kweli kabisa jana doku game ilimshinda halishindwa kabisa kufulukuta mbele ya james. Sub zote za gadiora zilikua tactical hata ile ya kumtoa alvarez kumpeleka uwanjan kovavic ni kwa sababu rodri alikua anapata shida kutuliza mikimbio ya ze bluz peke yake maana partner wake pale kati ni bernado silva ambae sio mkabaji. Yote kwa yote game ilikua tamu sana magoli ya kutosha ingawa man city wamenichania mkeka wangu maana niliwapa win.
Watu weusi wakati mwingine tunaendekeza kulia lia tu. Mchezaji kaanzishwa tangu mwanzo iweje umlaumu kocha. Je huyo aliyeingia kipindi cha pili atasemaje? Licha ya hivyo Grealish ni fundi na mtulivu ndani ya 18, Doku papatu nyingi na James alikuwa kamdhibiti vizuri tu.
Kichwa chako ni begi la meno
Kitu pekee kilichonifanya nimchukie Pep na timu yeyote anayokwenda ni ubaguzi hasa alioufanya kwa Yahya Toure na Eto'o.
Aliwabaguaje hao akina yaya toure na eto'o?? Hebu elezeaKitu pekee kilichonifanya nimchukie Pep na timu yeyote anayokwenda ni ubaguzi hasa alioufanya kwa Yahya Toure na Eto'o.
Angalau kidogo nimesoma comment ya mtu anayeujua mpiraBinafsi nahisi Doku alitolewa mchezoni baada Yellow Card aliyopewa kwa kosa la kujiangusha. Huenda Guardiola aliona Doku anaweza asiperform vzuri tena coz kama kaaibishwa flani hivi. Kitendo cha Doku kuanza na kumuach Jack bench tayari hyo ni respect. Pia Grealish anakaba kuliko Doku kwa mechi ile ya jana alifaa kupunguza kasi.