Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Acha upuuzi kijana.....
Pep kazid inabidi apigwe stopAcha upuuzi kijana.....
Naunga mkono hojaAcha upuuzi kijana.....
Dogo huko likizo nini wee mbusiiMkaldayo wewe ni mbusii
Cc KilimbatzzNaunga mkono hoja
Guardiola Alivyopewa tu Timu ya Barca 2008 alimuondoa Ronaldinho akahamia AC Milan. Wakati dunia nzima inaona Ronaldinho hagusiki yeye akamuondoa. Itakuwa kina Yaya na Eto'o?Kitu pekee kilichonifanya nimchukie Pep na timu yeyote anayokwenda ni ubaguzi hasa alioufanya kwa Yahya Toure na Eto'o.
Ndo nani huyo?
Ni wewe mwenyeweNdo nani huyo?
Ndio inaisha week hii.Dogo huko likizo nini wee mbusii
Naona hujaelewa nilichoandika. Wapi nimezungumzia maswala ya uhamisho hapo. Yaani watu kama nyie ndio huwa mnafanya Afrika tunadharaulika.Guardiola Alivyopewa tu Timu ya Barca 2008 alimuondoa Ronaldinho akahamia AC Milan. Wakati dunia nzima inaona Ronaldinho hagusiki yeye akamuondoa. Itakuwa kina Yaya na Eto'o?
Ila kile ki Doku ni moto sana.