ora
JF-Expert Member
- May 21, 2016
- 1,198
- 1,126
habari waungwana!
Jana na leo alfajiri nimeota ndoto zimenistaajabisha kidogo,
Jana nimeota kua nimesingiziwa kuwa na mahusiano na mwanaume ambae sikumtambua kwa sura, basi ikawa kama nimefumaniwa yaani nikadhalilishwa (sio kuvuliwa nguo lakini wala kupigwa) ilikua tu kusanyiko la watu wananizomea..
Basi kuna msichana jirani yetu na mdogo wake wa kiume wakanichukua wakanirudisha nyumbani nikalia sana kilio cha majuto ,yaani nikalia haswa..
Baada ya hapo nikaamka(nikapotezea)
Sasa leo alfajiri tena nmeota nmesingiziwa kuiba kwenye duka flani hivi la vipodozi
(sina tabia ya wizi), basi wakanidhalilisha kama ndoto iliyopita alafu msichana yule yule niliemuota jana akaja kunitoa tena twende home lakini leo badala ya kulia, tukacheka sana yaani, baada ya hapo nikaamka!
Sielewi maana ya hizi ndoto!
Je kuna tatizo juu yake au ni kawaida tu???
wajuzi msaada..