Mgboss
JF-Expert Member
- Jul 7, 2016
- 497
- 278
Hiyo ni ndoto moja, na kuota Mara mbili inamaana lazima itokee na itatokea mapema, ya maana kwamba utafanya kosa Fulani na huyo MTU unayemchukia ndiye atakayekuokoa, hivyo basi kama kuna MTU una ugomvi naye na unamchukia tafadhali rudisha upendo kwake kwani wenye msaada kwako ni ni hao/huyo unayemchukia, haimaanishi uliyemuota ndo huyo.