Au mnamfanyia mixemixe awe shemeji yenu. Hahahuyo jamaa anakuwazaga sana kabla hajalala afu anatamn awe beneti sana nawewe kam ni washkaji basi wote kiroho mmeendana kiasi kwamba it is easy for you two kusaidian
Uwiiiii, ko huyo Dada muwangaji[emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15]Hebu lete namba ya huyo msichana nimpigie nimuonye asikufatefate usiku
asante kwa kunieleweshaHiyo ni ndoto moja, na kuota Mara mbili inamaana lazima itokee na itatokea mapema, ya maana kwamba utafanya kosa Fulani na huyo MTU unayemchukia ndiye atakayekuokoa, hivyo basi kama kuna MTU una ugomvi naye na unamchukia tafadhali rudisha upendo kwake kwani wenye msaada kwako ni ni hao/huyo unayemchukia, haimaanishi uliyemuota ndo huyo.
naomba aniepushe sanaWanasema ukiota ndoto zinazofanana mara mbili.. hilo jambo limedhibitishwa kutokea.. Muombe Mungu rehema zake ili uliyoyaota yakuepuke.. kama kuna kitu umekosea omba toba then omba tafsiri ya hizo ndoto then omba uepushwe au upewe hekima jambo hilo likitokea..
[emoji27][emoji27][emoji27][emoji27][emoji27]kwahiyo niombe sana!
ngoja nikazane
Wanasema ukiota ndoto zinazofanana mara mbili.. hilo jambo limedhibitishwa kutokea.. Muombe Mungu rehema zake ili uliyoyaota yakuepuke.. kama kuna kitu umekosea omba toba then omba tafsiri ya hizo ndoto then omba uepushwe au upewe hekima jambo hilo likitokea..
Ooh...hahaha
yuko boarding school
Tulia kwanza tukamatie fursa sisiUwiiiii, ko huyo Dada muwangaji[emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15]
Achana na kuliendekeza sana hili jambo juc move onn fanya mambo yako kwa kujiamini bhana.
Ndoto ni hali ya mwili kuondokaba na msongo wa mawazo na stress ba ndo njia salama ya kumfanya mwanadamu kuziondoa past event zilizokuwa zina muumiza.
Naamini umenielewa
ONYO.
UKiyaendekeza unayoota utakuwa ni mtu unayeishi kwa hofu na mashaka pia kuba uwezo mkubwa wa kutofanikiwa
jamani sasa ikawajeMi niliwahi muota ndugu yangu mmoja ambae hatupo karibu nae. Na wala sijamuona tangu mwaka 1998...niliota tomekaa nae sehem karibu na tank la Choo, mala Choo kikaanza kutitia na kurusha kinyesi, Mimi nilikua najaribu kukwepa ila yeye akawa ananisukumia kwenye kinyesi, mumewe akatokea na kunimimia maji ninawe, kabla sijapokea maji huyo ndugu yangu akayapush hayo maji kwa maana nisipate kunawa. Huwezi amini ila nilifunga siku 3 na kuomba sana, niliogopa kwakweli.
jamani sasa ikawaje
akikupa namba yake ntaamini kweli aliota ndotoHebu lete namba ya huyo msichana nimpigie nimuonye asikufatefate usiku
Thuubutuuu... Ana ubavu huo??akikupa namba yake ntaamini kweli aliota ndoto