Anonymous Caller
JF-Expert Member
- Sep 8, 2016
- 679
- 870
Hivi wasiwasi unatoka wapi,
Huyo Guinea Alikaa mchezo wa kwanza akiwa kwao..
Mpira ndugu zangu umebadirika pakubwa..
Mlitegemea Comoro angeweza kufuzu kwa kuongoza kundi mbele ya Giant Tunisia..
Mlitegemea jana Rwanda kuifunga Nigeria kwake na kufikisha alama 8 sawa na Benini.
Naomba tuwe optimistic kwa Timu ya Taifa.
Maana wachezaji sio wana CCM direct..tusiwavunje moyo.
Hata mimi sifurahii masiasa kuletwa kwny michezo ila sasa sina namna.sasa nitaenda wapi.
Kama tunawahukumu akina manula kwa ajiri ya involvement ya CCM kwny Taifa stars
Tuwasusie na celebrities wengine kama Zuchu, Kiba, Diamond, manara, injinia herth said nk.
Maana hayupo mashuhuri yeyote asiye mwana CCM kuanzia Dewji mpaka Gharib iwe kwa kutaka au kutotaka.