Anonymous Caller
JF-Expert Member
- Sep 8, 2016
- 679
- 870
- Thread starter
- #41
Huyo Guirassy anapata nafasi ya kucheza akiwa Dortmund?Inawezekana,ukitaka kuamini angali kwenye line up kama utamuona mo salaa leo
Alikaa sawa,je ulicheki kikosi chao vzr??uliwaona mastaa wao akiwemo guirassy??game mbili za mwanzo walipuuzia ila walivyoona jahazi linatka kuzama fasta wakaita mastaa wao waje kuokoa jahazi,?