Jana: Nigeria 1-2 Rwanda, Ghana 1-2 Niger Kwanini mnakuwa wazito kuamini Tanzania anashinda leo

Jana: Nigeria 1-2 Rwanda, Ghana 1-2 Niger Kwanini mnakuwa wazito kuamini Tanzania anashinda leo

Inawezekana,ukitaka kuamini angali kwenye line up kama utamuona mo salaa leo

Alikaa sawa,je ulicheki kikosi chao vzr??uliwaona mastaa wao akiwemo guirassy??game mbili za mwanzo walipuuzia ila walivyoona jahazi linatka kuzama fasta wakaita mastaa wao waje kuokoa jahazi,?
Huyo Guirassy anapata nafasi ya kucheza akiwa Dortmund?
 
Taifa Stars umma ukiwa unatamani ishinde haishindi na umma ukiwa hauna hata mood na mechi ndo inashinda. Leo watanzania wanataman ishinde sasa ndo itafeli

Huyo Guirassy anapata nafasi ya kucheza akiwa Dortmund?ndie mchezaji tegemeo mkuu,game zote walizocheza huwa anaanza mpk mwisho kama cr7,sio kama sama boy pale paok huwa anaingiaga dk za jion kabisa karb mpira kuisha na siku nyingine huwa hapangwi kabisa,.
 
Stars ipingwe tena nyingi sana maana kuna panya wapo mashimoni wanachungulia ili ikishinda waanze kumshukuru mama. Chawa wanakuwa na kuenea kwa kasi ya ajabu
Huku wakibubujikea machozi ya furaha
 
Back
Top Bottom