Jana: Nigeria 1-2 Rwanda, Ghana 1-2 Niger Kwanini mnakuwa wazito kuamini Tanzania anashinda leo

Jana: Nigeria 1-2 Rwanda, Ghana 1-2 Niger Kwanini mnakuwa wazito kuamini Tanzania anashinda leo

Hapana wengi tutafurahi hao wa siasani huwezi kuwazuia hata pale kariakoo wanashukuru mama
Wafungwe tu muhimu wachezaji wetu wa simba wasipate majeraha tu😅😅 hao wengine lolote liwakute tu.
 
Hao wote jana walikuwa wakamilisha ratiba tu hawana cha kupoteza ila leo TZ vs GUINEA wote wanatafuta kufuzu nd mana wasiwasi upo
Hii ndio mechi yenye top scorer wa haya mashindano mtu anayemsumbua Joshua Kimich na Kim pale Bayern
Oyah mi nimekuja kumuangalia mwamba Guirasy na Bacca
 
Stars ipingwe tena nyingi sana maana kuna panya wapo mashimoni wanachungulia ili ikishinda waanze kumshukuru mama. Chawa wanakuwa na kuenea kwa kasi ya ajabu
 
Wafungwe tu muhimu wachezaji wetu wa simba wasipate majeraha tu😅😅 hao wengine lolote liwakute tu.
Hii game tunashinda Guinea hamna kitu na jua liko la utosi watavuta pumzi ya gas
 
Hivi wasiwasi unatoka wapi,
Huyo Guinea Alikaa mchezo wa kwanza akiwa kwao..

Mpira ndugu zangu umebadirika pakubwa..

Mlitegemea Comoro angeweza kufuzu kwa kuongoza kundi mbele ya Giant Tunisia..

Mlitegemea jana Rwanda kuifunga Nigeria kwake na kufikisha alama 8 sawa na Benini.

Naomba tuwe optimistic kwa Timu ya Taifa.

Maana wachezaji sio wana CCM direct..tusiwavunje moyo.

Hata mimi sifurahii masiasa kuletwa kwny michezo ila sasa sina namna.sasa nitaenda wapi.

Kama tunawahukumu akina manula kwa ajiri ya involvement ya CCM kwny Taifa stars

Tuwasusie na celebrities wengine kama Zuchu, Kiba, Diamond, manara, injinia herth said nk.

Maana hayupo mashuhuri yeyote asiye mwana CCM kuanzia Dewji mpaka Gharib iwe kwa kutaka au kutotaka.
Hao walikuwa wanskamilisha ratiba tu
 
Stars ipingwe tena nyingi sana maana kuna panya wapo mashimoni wanachungulia ili ikishinda waanze kumshukuru mama. Chawa wanakuwa na kuenea kwa kasi ya ajabu
Tunashinda 2-0 hii mechi yetu kabisa
Duo ya Msuva na Samata inataka kuweka rekodi ya kwenda 3 Afcon
 
Nigeria alikuwa anakamilisha ratiba,hushangai amefungwa na bado anaongoza kundi?? Kuhusu ghana pale kwa sasa hawana timu karibu mechi zao zote ipo amepoteza,stars havukiiiiii nimekaa paleeeee.
Kwahiyo leo unataka kuniambia Botswana atapata matokeo kwa Egypt simply kwasabu Egypt kafuzu tayari.
 
Hii timu hi kosa kuamini itashinda! Ndio inafugwa. So for now let us assume inafungwa tu, ili tupate matokeo tofauti.

Lazima tupigwe tu hakuna namna.
 
Hata kwny matamasha ya Simba na Yanga samia alitafutiwa jukwaa la kusalimu washabiki kwa simu..

Yeye, Mpango, na Rc chalamila

Stars iwe mbuzi wa kafara
 
Kwahiyo leo unataka kuniambia Botswana atapata matokeo kwa Egypt simply kwasabu Egypt kafuzu tayari.
Inawezekana,ukitaka kuamini angali kwenye line up kama utamuona mo salaa leo
Hivi wasiwasi unatoka wapi,
Huyo Guinea Alikaa mchezo wa kwanza akiwa kwao..

Mpira ndugu zangu umebadirika pakubwa..

Mlitegemea Comoro angeweza kufuzu kwa kuongoza kundi mbele ya Giant Tunisia..

Mlitegemea jana Rwanda kuifunga Nigeria kwake na kufikisha alama 8 sawa na Benini.

Naomba tuwe optimistic kwa Timu ya Taifa.

Maana wachezaji sio wana CCM direct..tusiwavunje moyo.

Hata mimi sifurahii masiasa kuletwa kwny michezo ila sasa sina namna.sasa nitaenda wapi.

Kama tunawahukumu akina manula kwa ajiri ya involvement ya CCM kwny Taifa stars

Tuwasusie na celebrities wengine kama Zuchu, Kiba, Diamond, manara, injinia herth said nk.

Maana hayupo mashuhuri yeyote asiye mwana CCM kuanzia Dewji mpaka Gharib iwe kwa kutaka au kutotaka.
Alikaa sawa,je ulicheki kikosi chao vzr??uliwaona mastaa wao akiwemo guirassy??game mbili za mwanzo walipuuzia ila walivyoona jahazi linatka kuzama fasta wakaita mastaa wao waje kuokoa jahazi,?
 
Back
Top Bottom