Allen Kilewella
JF-Expert Member
- Sep 30, 2011
- 21,470
- 40,593
Kaandika andiko bila ya upembuzi yakinifu๐๐๐๐Hao wote jana walikuwa wakamilisha ratiba tu hawana cha kupoteza ila leo TZ vs GUINEA wote wanatafuta kufuzu nd mana wasiwasi upo
Wafungwe tu muhimu wachezaji wetu wa simba wasipate majeraha tu๐ ๐ hao wengine lolote liwakute tu.Hapana wengi tutafurahi hao wa siasani huwezi kuwazuia hata pale kariakoo wanashukuru mama
Hii ndio mechi yenye top scorer wa haya mashindano mtu anayemsumbua Joshua Kimich na Kim pale BayernHao wote jana walikuwa wakamilisha ratiba tu hawana cha kupoteza ila leo TZ vs GUINEA wote wanatafuta kufuzu nd mana wasiwasi upo
Aisee!Labda yule striker wa BVB wamuue
Hii game tunashinda Guinea hamna kitu na jua liko la utosi watavuta pumzi ya gasWafungwe tu muhimu wachezaji wetu wa simba wasipate majeraha tu๐ ๐ hao wengine lolote liwakute tu.
Hao walikuwa wanskamilisha ratiba tuHivi wasiwasi unatoka wapi,
Huyo Guinea Alikaa mchezo wa kwanza akiwa kwao..
Mpira ndugu zangu umebadirika pakubwa..
Mlitegemea Comoro angeweza kufuzu kwa kuongoza kundi mbele ya Giant Tunisia..
Mlitegemea jana Rwanda kuifunga Nigeria kwake na kufikisha alama 8 sawa na Benini.
Naomba tuwe optimistic kwa Timu ya Taifa.
Maana wachezaji sio wana CCM direct..tusiwavunje moyo.
Hata mimi sifurahii masiasa kuletwa kwny michezo ila sasa sina namna.sasa nitaenda wapi.
Kama tunawahukumu akina manula kwa ajiri ya involvement ya CCM kwny Taifa stars
Tuwasusie na celebrities wengine kama Zuchu, Kiba, Diamond, manara, injinia herth said nk.
Maana hayupo mashuhuri yeyote asiye mwana CCM kuanzia Dewji mpaka Gharib iwe kwa kutaka au kutotaka.
Ngoja baada ya game nita ku tag mkuuHii game tunashinda Guinea hamna kitu na jua liko la utosi watavuta pumzi ya gas
Tunashinda 2-0 hii mechi yetu kabisaStars ipingwe tena nyingi sana maana kuna panya wapo mashimoni wanachungulia ili ikishinda waanze kumshukuru mama. Chawa wanakuwa na kuenea kwa kasi ya ajabu
Mechi saa 1 mkuuHii game tunashinda Guinea hamna kitu na jua liko la utosi watavuta pumzi ya gas
Saa 10 jioni halafu Niko ground mkuu na ni mtu mkubwa pale tffMechi saa 1 mkuu
Kwahiyo leo unataka kuniambia Botswana atapata matokeo kwa Egypt simply kwasabu Egypt kafuzu tayari.Nigeria alikuwa anakamilisha ratiba,hushangai amefungwa na bado anaongoza kundi?? Kuhusu ghana pale kwa sasa hawana timu karibu mechi zao zote ipo amepoteza,stars havukiiiiii nimekaa paleeeee.
Kila tukio huwa na nasibu zake.Kwahiyo leo unataka kuniambia Botswana atapata matokeo kwa Egypt simply kwasabu Egypt kafuzu tayari.
Hawa sio waarabu shehe,hawa jamaa ni kazi kazi ata ungewachezesha saa sita alasiri hutoboi ng'ooooooooHii game tunashinda Guinea hamna kitu na jua liko la utosi watavuta pumzi ya gas
Majamaa yana feel pitch dah sio poaHawa sio waarabu shehe,hawa jamaa ni kazi kazi ata ungewachezesha saa sita alasiri hutoboi ng'oooooooo
Inawezekana,ukitaka kuamini angali kwenye line up kama utamuona mo salaa leo,Kwahiyo leo unataka kuniambia Botswana atapata matokeo kwa Egypt simply kwasabu Egypt kafuzu tayari.
Inawezekana,ukitaka kuamini angali kwenye line up kama utamuona mo salaa leoKwahiyo leo unataka kuniambia Botswana atapata matokeo kwa Egypt simply kwasabu Egypt kafuzu tayari.
Alikaa sawa,je ulicheki kikosi chao vzr??uliwaona mastaa wao akiwemo guirassy??game mbili za mwanzo walipuuzia ila walivyoona jahazi linatka kuzama fasta wakaita mastaa wao waje kuokoa jahazi,?Hivi wasiwasi unatoka wapi,