Jana nilifanya mazungumzo na Yesu Kristo na kumwomba ufafanuzi kuhusu amri zake kuu mbili za upendo. Na hapa nakuletea mazungumzo hayo kwa ufupi

Hakuna sehemu nimesema hivo ,

Kesho tutaendelea
 
Akija tena naomba umeambie ninashida naye kidogo nataka tuonane naye over
 
Mental health ni janga kubwa kuliko ukimwi
 
Ilikuwa ni mpango maalum wa kuishinda mauti.... hatimaye akaishinda mauti , ibilisi na wafuasi wake taharuki ikawapata
Embu tumia akili basi, Mungu gani anatekwa na binaadamu aliowaumba mpaka wanampigilia kwenye mti hana la kufanya? Mungu gani anakula na kujamba?
 
Asante kwa somo zuri la upendo, kwa zama hizi upendo umekua bidhaa adimu kwa sababu ya kuenea ujengeufu na mafundisho ya uongo.
 
Embu tumia akili basi, Mungu gani anatekwa na binaadamu aliowaumba mpaka wanampigilia kwenye mti hana la kufanya? Mungu gani anakula na kujamba?
Kuna Mungu na Yesu Kristo, aliyesulubiwa ni Yesu Kristo mwana wa Mungu muumba mbingu na nchi....ili mimi na wewe kwa kumuamini na kufuata mafundisho yake tupate ondoleo la dhambi na kuishi maisha mazuri, yenye furaha na yasiyo na ukomo baada ya kiama....Kuwa makini rafiki kiburi cha uzima kitakuangamiza. Mungu hadhihakiwi...
 
Uangamizwe wewe na wazazi wako! Mwana gani huyo? Je Mungu wenu alizaa ndio akamzaa yesu kwa kupandikiza mbegu kwa maria? Niepushe na dhambi ya kukufuru kuabudu binaadamu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…