Tony Laurent
JF-Expert Member
- Jan 5, 2011
- 5,606
- 7,032
Jana nimekwenda ibadani nikapata upako wa kutosha. Na nikarudi nyumbani, nikitarajia kuwa furaha hiyo itaendelea hadi usiku wote. Kufika majira ya saa nne za usiku, timu moja, inayoitwa Taifa Stars ikatibua furaha yangu ya kutwa nzima. Hovyo kabisa. Nimesikitika sana. Yaani mnaruhusu goli dakika za lala salama na timu ambayo ina upungufu wa mchezaji mmoja?
Basi Poa. Tuonane tena mwakani endapo mtafuzu
Basi Poa. Tuonane tena mwakani endapo mtafuzu