Mangungo II
JF-Expert Member
- Jul 6, 2012
- 18,133
- 26,766
Aisee hakuna kitu sipendi kama hayo madude.Ulitumia kondomu ,...mademu wa udsm wanaokaa mabibo hostel wan UTI ,baada ya week mbili basi utakuwa una fungus + UTI
Yakikupata Yale konki utajuta kuzaliwa.
Na siku hizi mabinti wengi sana Wana haya matakataks mwilini mwao.
Na wanaishi nayo bila wao wenyewe kujua.
Sasa kwakuwa sisi miili yetu Iko sensitive yakikupata tu chap!!! Chamoto unaanza kukiona.
Utasali sala zote Israel mtoa roho asikuchukue.
Nashauri usitembelee Ringi hata kama demu ni mzuri kama Beyonce au Rihanna.
Ndomu iwe sera Yako ipende ndomu Yako. Itakuwa na mengi na tabu za uzinzi[emoji1787]