Jana nimefanya risk ya kipuuzi sana

Ulitumia kondomu ,...mademu wa udsm wanaokaa mabibo hostel wan UTI ,baada ya week mbili basi utakuwa una fungus + UTI
Aisee hakuna kitu sipendi kama hayo madude.

Yakikupata Yale konki utajuta kuzaliwa.

Na siku hizi mabinti wengi sana Wana haya matakataks mwilini mwao.

Na wanaishi nayo bila wao wenyewe kujua.

Sasa kwakuwa sisi miili yetu Iko sensitive yakikupata tu chap!!! Chamoto unaanza kukiona.

Utasali sala zote Israel mtoa roho asikuchukue.

Nashauri usitembelee Ringi hata kama demu ni mzuri kama Beyonce au Rihanna.

Ndomu iwe sera Yako ipende ndomu Yako. Itakuwa na mengi na tabu za uzinzi[emoji1787]
 
Hahahahah kudadeki. Aisee

Kuna dawa Fulani Inaitwa Whitfield ni kiboko ya fangasi zote ila Sasa ukiipataka chamoto utakipata kwenye hizo MbUpU inawasha kishenzi utadhani MbUpU zinachemshwa kwenye maji ya moto.

Uzinzi tabu sana.
 
Naam naam naam
 
Hii story imefanana na yangu wiki hiihii.
Kuna siku nilikuwa na ugwadu wa kugonga nje. Asa huwa Nina madem wengi tu wa kutosha.
Nkawatumia sms Kama wa5 ivi za kufanana. Waka respond 3. Wawili kati yao wakawa hawana bafas. Mmoja akatiki. Shida Ni wa Kijiji jiran, mbali kidogo.
Mda huo nna pkpk, helmet Sina ipo home. Na nikienda hom hawezi nielewa kutoka.
Nikarudi hom kinyonge. Maana siwez kwenda bila helmet.
Kufika home mlango uliegeshwa bila komeo la ndani. Kuepusha usumbufu wa kunifungulia. Kuingia ndani, wife anauchapa usingizi Wala hana habar.
Bahati iliojee..
Nilichukua helmet faster nikatoka nduki mpaka kwa demu. Nmekaribia ndo nikapiga Sim anifungulie. Nikapiga mshindo mmoja wa nguvu saafi.
Kurudi hom wife hajaamka.
 
Watu mnafukua makaburi [emoji23][emoji23][emoji23] sahiz nimeokoka sina mchepuko kabisa [emoji23][emoji23][emoji23]
 
Duuh mkuu siku nyingine usirudie hatari kwa ndoa ni hayo tu.Je ulimpa pesa yake?
 
Daah Hz mambo zishanikuta Sana , nishapita machakani sa nane usku kisa demu niliyemfukuzia sana tena mke wa mtu , ni nouma
Mie mwenyewe aisee kuna siku nilienda maeneo Usiku saa Tisa kufata K.

hawa ukiendekeza unawez kufa kibudu
 
Hii kitu acha kabisa. niliwahi kumla mke wa mtu chooni kwao mme wake akiwa ndani. na choo kimetazamana na mlango ilikuwa usiku saa 1. na niliingia geti ndani nilivyo mwaga akili ndo zikarudi aise acha kabisa
Hizo risk nazifanya nikishamjua Mume wake yukoje.. Kama mzembe mzembe mbona namtombea Seblen na yeye akiwa kalala ndani.

Ila kuna chata unaona kabisa hapa nachokitafuta ni kifiro
 
Yaani mwanaume mzima unarisk maisha yako dizaini afu unaenda kupiga tuvibao tuwili tu? Yaani uingie gharama zote hizo za kulipia boda,Lodge na kumwachia demu posho afu unapiga bao mbili pekee??

Kweli wanaume tunazidi kupungua kwa Kasi SanaπŸ€”
 
Yaani mwanaume mzima unarisk maisha yako dizaini afu unaenda kupiga tuvibao tuwili tu? Yaani uingie gharama zote hizo za kulipia boda,Lodge na kumwachia demu posho afu unapiga bao mbili pekee??

Kweli wanaume tunazidi kupungua kwa Kasi SanaπŸ€”
 
Da usikute ulimpotelea Shemeji cheni ya bandia na yeye kakutolea mapemaaa noti ya bandia.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…