SAUTI YAKO
JF-Expert Member
- Jan 25, 2014
- 2,944
- 2,032
Mkuu inabidi kupaza sauti kama hela hii itakatwa kila nyumba ni hela nyingi inayohitaji maelezo ya kutosha.mlionunua umeme jana na mtaondelea kununua token mwezi huu mnabidi mlete mrejesho tupate maelezo ya ongezeko la hiyo tsh 500BADO MTASEMA
"WAZIRI FA KUANZISHA CHUO CHA UCHAMBUZI WA MICHEZO"
bado mtasema .Mkuu inabidi kupaza sauti kama hela hii itakatwa kila nyumba ni hela nyingi inayohitaji maelezo ya kutosha.mlionunua umeme jana na mtaondelea kununua token mwezi huu mnabidi mlete mrejesho tupate maelezo ya ongezeko la hiyo tsh 500
Nilijua niko mwenyewe mkuu,je hatuwezi pata msaada wa kisheria kwa hili walolifanya bila kuutangazia umma kwanza.Watanzania tunapelekwa tu watu wanavyojisikia wakiamka leo tufanye hivi wanafanya.Ninaomba itv waliweke hili kwenye kipima joto sauti zipazwe.tuna mizigo mingi sana sasa hivi mifumuko ya bei bado tunazidishiwa tu mizigoHata mimi nimeona mkuu; debt collected: 1500
Mkuu tuwekee kumbukumbu ya tangazo hilo inawezekana taarifa ilitangazwa lakini haikufanyika juhudi ya kutosha kuwafikia watumiaji wengi .mwanzo walivyotangaza tutaanza kukatwa elimu ilitolewa sana tukaridhikambona mwigulu toka mwaka jana alitangazaa bungeni na makofii yakapigwaa ya kutosha na wabunge wotee
...!!
Haukuwa makini tu ila zoezi lilianza toka mwaka jana, wanakata 1,500 na jumla ni 18,000 badala ya 12,000 kwa mwaka. Ndio mmasema kodi ya ardhi/pango(?)Nilijua niko mwenyewe mkuu,je hatuwezi pata msaada wa kisheria kwa hili walolifanya bila kuutangazia umma kwanza.Watanzania tunapelekwa tu watu wanavyojisikia wakiamka leo tufanye hivi wanafanya.Ninaomba itv waliweke hili kwenye kipima joto sauti zipazwe.tuna mizigo mingi sana sasa hivi mifumuko ya bei bado tunazidishiwa tu mizigo
Ongezeko la 500 la muda sasa yapata miezi 5/6 iliopitaMkuu inabidi kupaza sauti kama hela hii itakatwa kila nyumba ni hela nyingi inayohitaji maelezo ya kutosha.mlionunua umeme jana na mtaondelea kununua token mwezi huu mnabidi mlete mrejesho tupate maelezo ya ongezeko la hiyo tsh 500
500 imeongezeka kwa sababu zipi nahitaji elimu zaidiMbona hiyo 1500 ina zaidi ya mwezi nadhani hata december ilikuwa hivyo ila january ni uhakika walikata 1500
Sio kodi ya ardhi ni kodi ya jengo.Haukuwa makini tu ila zoezi lilianza toka mwaka jana, wanakata 1,500 na jumla ni 18,000 badala ya 12,000 kwa mwaka. Ndio mmasema kodi ya ardhi/pango(?)
maisha yamepanda kwa viongoz wameona waongeze wakabiliane na ugumu wa maisha. mkuu hupendi watawala waish kwa raha mustarehe?Tangu zoezi lianze miaka michache iliyopita nimekuwa nikikatwa elfu moja,lakini jana ikakusanywa 1500 bila maelezo hiyo 500 imeongezekaje.
Sijajua kwenu wakuu imekuaje pia kama mmekutana na ongezeko hilo.Mamlaka husika imeshawahi ongelea ongezeko hilo na hiyo tsh 500 inaenda kumfanyia nini mwananchi,je imekaaje kisheria kuchukua hela ya mtu bila kumfahamisha kuwa kuna hilo ongezeko?
Wajuzi wa mambo wenye uelewa mkubwa ninaomba msaada wenu,maana nilitaka kama mwenezi angekuwa hajapita huku niliko ningetokea kwenye mkutano hawaite wahusika wajieleze maana yeye ndiye anao uwezo wa kufumbua mafumbo now days
Hapo nimeelewa mkuu kweli nakiri sikuwahi kuipata hii maana ni mwezi huu ndio nimeanza kukatwa 1500 mwaka jana ililkuwa tsh 1000Haukuwa makini tu ila zoezi lilianza toka mwaka jana, wanakata 1,500 na jumla ni 18,000 badala ya 12,000 kwa mwaka. Ndio mmasema kodi ya ardhi/pango(?)