Jana nimekatwa shilingi 1500 nikinunua umeme baada ya shilingi 1ooo hii 500 imeongezeka lini?

Mimi mbona hiyo buku jero nilianza kukatwa tangu mwaka jana,na hii sio kwa mjini tuu hadi vijijini maana jana pia nimenunua umeme wa huko Kijijini wakakata buku jero pia.

Sent from my TECNO CF7 using JamiiForums mobile app
 
Imeanza zamani Sana Tangu mwezi Wa saba mwaka Jana So maybe kama ulikuwa hununuj umeme au ulikuwa na Pesa nyingi kiasi cha kushindwa kujua matumizi
 
Hapo nimeelewa mkuu kweli nakiri sikuwahi kuipata hii maana ni mwezi huu ndio nimeanza kukatwa 1500 mwaka jana ililkuwa tsh 1000
Bajeti ya mwaka wa fedha iliipitisha hii kitu, na watu walilalamika sana kwa ongezeko hili.
 
Let say idadi ya watu 67 millions(according to 2022 census increasd by 2.96%)
Idadi ya makazi(taxable) 12millions
Kiasi kilichoongezwa tzs 500

Kwahiyo
Tzs 500 x 12 million= 6 billions
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…