Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hahahahhahahahahahahhahahahahahahahahhahahahahahajhaaj. Maamaeeeeeeeeeh !!!Unamjua shetani ndugu..?
Sasa ndo alikusajili kenge wewe uache kula makande yaliyochacha ipo siku utaota wewe ni ugali.
We jamaa msengee sanaaMnaoshangaa,
Nilishaota nachezea man city. Nikawa sichezi vizuri mpaka mashabiki wanalalama nitolewe. Lakini kocha kakomaa sitolewi. Mwisho wa siku ndiye niliibeba team. Maana nilifunga goli pekee na la ushindi.
yan app tunasubir kwa hamuu mtu akadweee arena atoki mtuLeo uote unawafunga bayern mkuu 😂😂
ota umesajiriwa timu zote ila sio man UAsee nilicheza ndondo Fulani nikapiga vitatu.Nilisajiliwa pale the blues nkamkarisha benchi ngolo kante nimefunga goli moja la ushindi dhidi ya Barcelona.
Usiku mwema Leo nikiota ntawaambia tena