Jana nimeota nasajiliwa Chelsea nikacheza pale Stanford Bridge

Twinawe

JF-Expert Member
Joined
Oct 3, 2016
Posts
2,431
Reaction score
5,336
Asee nilicheza ndondo Fulani nikapiga vitatu.Nilisajiliwa pale the blues nkamkarisha benchi ngolo kante nimefunga goli moja la ushindi dhidi ya Barcelona.

Usiku mwema Leo nikiota ntawaambia tena
 
Punde utaota unajifungua na utakunya kwa bed tunasubiri mrejesho huo
 
ukiota unashangilia ulete mrejesho.
 
Mnaoshangaa,

Nilishaota nachezea man city. Nikawa sichezi vizuri mpaka mashabiki wanalalama nitolewe. Lakini kocha kakomaa sitolewi. Mwisho wa siku ndiye niliibeba team. Maana nilifunga goli pekee na la ushindi.
 
Leo uote unawafunga bayern mkuu 😂😂
 
Unamjua shetani ndugu..?
Sasa ndo alikusajili kenge wewe uache kula makande yaliyochacha ipo siku utaota wewe ni ugali.
 
Hahahahhahahahahahahhahahahahahahahahhahahahahahajhaaj. Maamaeeeeeeeeeh !!!
 
Mnaoshangaa,

Nilishaota nachezea man city. Nikawa sichezi vizuri mpaka mashabiki wanalalama nitolewe. Lakini kocha kakomaa sitolewi. Mwisho wa siku ndiye niliibeba team. Maana nilifunga goli pekee na la ushindi.
We jamaa msengee sanaa
 
Asee nilicheza ndondo Fulani nikapiga vitatu.Nilisajiliwa pale the blues nkamkarisha benchi ngolo kante nimefunga goli moja la ushindi dhidi ya Barcelona.

Usiku mwema Leo nikiota ntawaambia tena
ota umesajiriwa timu zote ila sio man U
 
Back
Top Bottom