Jana nimetembea Kilometa 43 kwa miguu

Jana nimetembea Kilometa 43 kwa miguu

Sitasahau siku nimetaka nitembee kwa mguu kutoka arusha mjini mpaka kisongo

Nilipadharau nikahis nipafupi sana ila kilichonikuta sitasahau

Kwanza kutoka mjini mpaka kufika airport habari nilikuwa nimeshaipata
Du hapo hata km 8 haifiki acha uvivu , nduruma east Africa mpaka by pass ngatamtoni hata km 30 haifiki unapaswa kutembea ndani ya saa 4 umetoboa . Huyu ndugu yetu alikuwa anatambaa
 
Wakimbiaji tuliozoea huo mbali tunakwenda ndani ya 4 hours...kawaida sanaaaaaa....
 
Du hapo hata km 8 haifiki acha uvivu , nduruma east Africa mpaka by pass ngatamtoni hata km 30 haifiki unapaswa kutembea ndani ya saa 4 umetoboa . Huyu ndugu yetu alikuwa anatambaa
Nilifatilia baadae nikagundua ni km 13
 
Duuh hongera mkuu, vipi ulipita jeshini nini, maana wao kule ni kawaida kwenda makilometa hayo
 
Sitasahau siku nimetaka nitembee kwa mguu kutoka arusha mjini mpaka kisongo

Nilipadharau nikahis nipafupi sana ila kilichonikuta sitasahau

Kwanza kutoka mjini mpaka kufika airport habari nilikuwa nimeshaipata
Wewe ni mvivu. Ukifanikiwa tu kufika Burka SDA kanisani basi Airport hii hapa. Mimi trip za Ilboru shuleni hadi Mbauda-JR nimezifanya mno.
 
Back
Top Bottom