Jana nimetembea Kilometa 43 kwa miguu

Jana nimetembea Kilometa 43 kwa miguu

Kutmbea km 10 ghafala Kama ulikuwa hufanyi zoezi inaweza kusababisha Hilo tatizo.
Inawezekana pia ulikuwa hujavaa proper walking/running shoes...!

Ila yataka Moyo sana ,mimi nikiwa na muda natembea 25km ila siku moja moja ni 16km (8km go and return).
 
Kuna wale jamaa wa kuswaga ng'ombe minadani ndo hatari Sana kwa kutembea kwa mguu.

Ng'ombe wanatolewa Moro Hadi iringa au mbeya kwa mguu pori kwa pori mamia ya kilometer
Wale ni professionals wanalipwa kwa kazi hiyo[emoji119][emoji119]
 
Back
Top Bottom