Jana nimetembea Kilometa 43 kwa miguu

Jana nimetembea Kilometa 43 kwa miguu

Nilikuwa nafanya mazoezi ya marathon, ila kwa kutembea mdogomdogo. Ilinichukua masaa tisa lakini nilifanikiwa
View attachment 2674816
Hongera sana mkuu. Ninapokuwa na nafasi, huwa nafanya kile ninachokiita WALKING TOUR.
.
Kuna wakati nilishawahi kutembea masaa zaidi ya kumi, kwa kupenda. Niliweka lengo la kwenda nilikokudia kwa miguu, umbali ambao kwa basi ni sh 4,000/=.

Nilianza safari saa kumi na mbili Asubuhi nikafika saa kumi na moja Jioni.

Nilitembea mpaka miguu ikawa haitaki knyanyuka, lakini nikaendelea kuilazimisha.

Nilichoka sana. Wengine walinainambia ningeamka kesho yake miguu ikiwa imevimba, lakini hilo halikutokea.
 
Hizo ni results za wiki nzima sio siku kama ailvyo sema.

View attachment 2674921
Mimi steps zangu mpaka mda huu
View attachment 2674922
By-the-way nauza kigari
Hiyo sio ripoti ya wiki ni mwendo niliotembea jana.
Screenshot_20230701-014450_Step Tracker & Pedometer.jpg
 
Unamaanisha? ...!!!
huwa siongei pumba mkuu ukiwa mzembe hauna mazoezi ya mara kwa mara unakuta na nimeona kwa macho yangu .

Hivi viatu vya ngozi na raba za ngozi huwa zinaisha unanunua kingine
 
Back
Top Bottom