Jana nimetembea Kilometa 43 kwa miguu

Jana nimetembea Kilometa 43 kwa miguu

Hao jamaa huku kwetu huwa wanazipiga hzo km 40 tena hata hawawaz kabisa

Kuna mwamba mmoja ndo alinishanganza alikuwa yupo kijijin alikuwa anasukuma mkokoteni wa tairi za magari ukiwa na mawe peke yake kwa umbali wa km 5

Kuna siku aliwah kufata dirisha zile za frem za mbao zilizosukiwa nondo kwa huo mkokoteni,kutoka hapo kijijin mpaka wilayani ni km 30,nenda rudi 60 na alitumia siku moja

Wengi walikuwa wanasema huwa anatumia dawa,ila jamaa ana mguu mkubwa sana na umejaa misuli
Uyo keshazoea, Anaona rahisi Sana
Waliozoea Uber lazima waone maruweruwe[emoji28]
 
Kuna wale jamaa wa kuswaga ng'ombe minadani ndo hatari Sana kwa kutembea kwa mguu.

Ng'ombe wanatolewa Moro Hadi iringa au mbeya kwa mguu pori kwa pori mamia ya kilometer
Nimefanya sana hizi mambo , kuwapeleka mnadani , wakati mwingine mnahamisha mifugo kuipeleka sehemu yenye malisho ! Pia hata kwenye kuchunga tunaenda mbali sana hasa kipindi cha kiangazi kupata maji !!
 
Sitasahau siku nimetaka nitembee kwa mguu kutoka arusha mjini mpaka kisongo

Nilipadharau nikahis nipafupi sana ila kilichonikuta sitasahau

Kwanza kutoka mjini mpaka kufika airport habari nilikuwa nimeshaipata
[emoji16][emoji16][emoji16]
 
Back
Top Bottom