Jana refa katunyima penalt

Mpira wa kugonga mkono sio lazima iwe ni foul, inategemea mkono uko katika position gani (Normal or Abnormal) mabadiliko ambayo yalifanywa toka mwaka juzi kitu ambacho wengi hawaelewi.

Kwa muktadha huo basi kwa scenario ya jana haikuwa penalty kwani mkono haukunyanyuliwa juu na mpira ukaugonga pale pale kwenye position ambapo mkono unatakiwa uwe kiasili (Natural Position).
 
Ushindi wao kwa asilimia kubwa unategemea marefa tu. Ndio maana kwenye game za champions league hawafikagi mbali . kwa trend tu ya kutoka mwaka jana naanza kuhisi hata ubingwa wa miaka ya nyuma walikuwa wakiuchua kiivyo.
Trust me kama timu yanga ingenyimwa zile penaiti leo bongo ingekuwa haitoshi.
 
Ile ni natural position mkuy?
 
Mnatafuta mchawi
 
Umemuelewa alivyosema natural position? Kibwana mkono wake ulikuwa vile vile ulivyokuwa na wala hajatoa mkono wake kwenda kubroke mpira.
we nawe acha pombe,hakuwa kibwana yule.
 
Jana rwfa kafamya makosa ma3.. Mawili katunyima penat 2 za wazi na moja ilikuwa ni jadi nyekundu kwa boko
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…