Jana refa katunyima penalt

Jana refa katunyima penalt

Mpira wa kugonga mkono sio lazima iwe ni foul, inategemea mkono uko katika position gani (Normal or Abnormal) mabadiliko ambayo yalifanywa toka mwaka juzi kitu ambacho wengi hawaelewi.

Kwa muktadha huo basi kwa scenario ya jana haikuwa penalty kwani mkono haukunyanyuliwa juu na mpira ukaugonga pale pale kwenye position ambapo mkono unatakiwa uwe kiasili (Natural Position).
 
Ushindi wao kwa asilimia kubwa unategemea marefa tu. Ndio maana kwenye game za champions league hawafikagi mbali . kwa trend tu ya kutoka mwaka jana naanza kuhisi hata ubingwa wa miaka ya nyuma walikuwa wakiuchua kiivyo.
Trust me kama timu yanga ingenyimwa zile penaiti leo bongo ingekuwa haitoshi.
 
Mpira wa kugonga mkono sio lazima iwe ni foul, inategemea mkono uko katika position gani (Normal or Abnormal) mabadiliko ambayo yalifanywa toka mwaka juzi kitu ambacho wengi hawaelewi.

Kwa muktadha huo basi kwa scenario ya jana haikuwa penalty kwani mkono haukunyanyuliwa juu na mpira ukaugonga pale pale kwenye position ambapo mkono unatakiwa uwe kiasili (Natural Position).
Ile ni natural position mkuy?
 
Nawapongeza yanga kwa ushindi wa jana lakini nawakumbusaha tu kuwa jana refa alitunyima penati halali kabisa beki wa yanga aliunawa mpira ndani ya box

Wachambuzi (takataka) wamenyamaza kimya kama sio penati vile badala yake wanazungumzia tukio la linesman kuingia uwanjani wakti ni kitu halali kwa sheria za mpira za FIFA

Hatujamlalamikia refa wala kuwalaumu tff nawaomba na nyie muwe wapole kwa tukio kama hilo likiwatokea
Mnatafuta mchawi
 
Umemuelewa alivyosema natural position? Kibwana mkono wake ulikuwa vile vile ulivyokuwa na wala hajatoa mkono wake kwenda kubroke mpira.
we nawe acha pombe,hakuwa kibwana yule.
 
Back
Top Bottom