joshydama
JF-Expert Member
- May 10, 2016
- 4,623
- 5,039
Mama yupo mkuu? Mwambie nakuja tucheze nae.Kacheze unapochezaga
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mama yupo mkuu? Mwambie nakuja tucheze nae.Kacheze unapochezaga
Simba watu wa makelele mengi ila mbinu za kimchezo hawana.Okay ila hata Yanga walionewa kutokana na refa kutotoa red card kwa dangerous plays za John Boco dhidi ya Mukoko Tonombe.
Hizi ndio takataka tunazozisemea kutoka mikianiMukoko alijilainisha tu.
Kumbuka hiyo football siyo mchezo laini laini
Alitanua kwapa kuzuia mpira.Angebana mkono ingekuwa unavyodai.Ile siyo penati mkuu. Ile ilikuwa ni ball to hand na siyo hand to ball.
Usije sema hivyo tena mbelr ya watu...Ile siyo penati mkuu. Ile ilikuwa ni ball to hand na siyo hand to ball.
Ile ni natural position mkuy?Mpira wa kugonga mkono sio lazima iwe ni foul, inategemea mkono uko katika position gani (Normal or Abnormal) mabadiliko ambayo yalifanywa toka mwaka juzi kitu ambacho wengi hawaelewi.
Kwa muktadha huo basi kwa scenario ya jana haikuwa penalty kwani mkono haukunyanyuliwa juu na mpira ukaugonga pale pale kwenye position ambapo mkono unatakiwa uwe kiasili (Natural Position).
Umemuelewa alivyosema natural position? Kibwana mkono wake ulikuwa vile vile ulivyokuwa na wala hajatoa mkono wake kwenda kubroke mpira.Ile ni natural position mkuy?
Mnatafuta mchawiNawapongeza yanga kwa ushindi wa jana lakini nawakumbusaha tu kuwa jana refa alitunyima penati halali kabisa beki wa yanga aliunawa mpira ndani ya box
Wachambuzi (takataka) wamenyamaza kimya kama sio penati vile badala yake wanazungumzia tukio la linesman kuingia uwanjani wakti ni kitu halali kwa sheria za mpira za FIFA
Hatujamlalamikia refa wala kuwalaumu tff nawaomba na nyie muwe wapole kwa tukio kama hilo likiwatokea
Leo mnaziona sheria zipo siyo?Kuna faulo morrison alichezewa ambayo ilikuwa nidirect red lakini refa hakutoa hata yellow
we nawe acha pombe,hakuwa kibwana yule.Umemuelewa alivyosema natural position? Kibwana mkono wake ulikuwa vile vile ulivyokuwa na wala hajatoa mkono wake kwenda kubroke mpira.
Sio kweli kwamba alitanua kwapa, acheni ushabiki bwana.Alitanua kwapa kuzuia mpira.Angebana mkono ingekuwa unavyodai.
Yes, au pandisha video.Ile ni natural position mkuy?