Jana Simba jana kila walioamua kufunga goli walifunga

Kamgomoli

JF-Expert Member
Joined
May 3, 2018
Posts
1,896
Reaction score
4,058
Unaikumbuka barcelona ya Xvavi,Iniesta,Messi,Pedro na David Villa? Hawa jamaa ilikua ni kosa la jinai kuwatangulia kuwafunga. Mpira unahamia golini kwako huku goli zikimiminika km maji.Muulize Sir. Alex atakusimulia kwa kina. Kibongobongo ndo naiona Simba ya sasa ya kiwango hicho.Azam walipofunga tu lile goli lao ndo ilikua mwanzo wa kufungwa. Niliwaona ghafla wachezaji wa Simba wakibadilika na kuwa wakatili wasio na huruma.Dilunga akawa mtu mwingine kabsa! Sheboub ndo akawa malaika mtoa roho. Kila mara Azam walipojaribu kujikongoja ndani dk 2 au 3 Simba walipigilia msumari mwingine na hivyo kuwakatisha tamaa kabsa wapinzani wao. Jana Azam hawakua na chakufanya zaidi ya kutulia na kusubilia mpira uishe. Tuache unazi wa kinafiki Simba ipo vzr jamani!
 
6 ilikuwa ziwahusu washukuru tu kagere jana hakuwa na bahati ya goli na mbaya zaidi akawa mchoyo. lkini niliona goli mbili kutoka kwake.
 
Movement ya Simba kwenda kushambulia ilikuwa na Quality sana.. kila Azam wakijaribu kwenda mbele walikuwa hafiki kwa malengo makubwa.
Kule nyuma napo wakawa wanatawanyika bila kumark (man 2 man)... Hii ndio iliwatesa sana Azam fc.
Kwa Simba hii yenye viungo wenye speed na uwezo mkubwa wa striker kufunga lazima Wakuumize tu.
Juu KAPOMBE, Chini ZIMBWE JR kama mawinga vile wanavyomwagika.

Karibu UD-SONGO Uone maana ya Home ground.
 
Azam walipofunga tu lile goli lao ndo ilikua mwanzo wa kufungwa. Niliwaona ghafla wachezaji wa Simba wakibadilika na kuwa wakatili wasio na huruma.Dilunga akawa mtu mwingine kabsa! Sheboub ndo akawa malaika mtoa roho. Kila mara Azam walipojaribu kujikongoja ndani dk 2 au 3 Simba walipigilia msumari mwingine na hivyo kuwakatisha tamaa kabsa wapinzani wao. Jana Azam hawakua na chakufanya zaidi ya kutulia na kusubilia mpira uishe. Tuache unazi wa kinafiki Simba ipo vzr jamani!

[emoji23][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
 
Movement ya Simba kwenda kushambulia ilikuwa na Quality sana.. kila Azam wakijaribu kwenda mbele walikuwa hafiki kwa malengo makubwa.
Kule nyuma napo wakawa wanatawanyika bila kumark (man 2 man)... Hii ndio iliwatesa sana Azam fc.
Kwa Simba hii yenye viungo wenye speed na uwezo mkubwa wa striker kufunga lazima Wakuumize tu.
Juu KAPOMBE, Chini ZIMBWE JR kama mawinga vile wanavyomwagika.

Karibu UD-SONGO Uone maana ya Home ground.
Simba hii yenye viungo wenye speed na uwezo mkubwa wa striker kufunga lazima Wakuumize tu.
Juu KAPOMBE, Chini ZIMBWE JR kama mawinga vile wanavyomwagika.

[emoji16][emoji12]
 
Back
Top Bottom