Jana Simba jana kila walioamua kufunga goli walifunga

Jana Simba jana kila walioamua kufunga goli walifunga

Kuna mtu jana alikuwa anatolewa ulimi na dilunga, big HD jana umepiga mpira hadi ukashikwa na kigugumizi cha miguu
Kila mtu Sasa pale Simba anacheza Mpira.
Ukimwona Mzamiru ni hatari, nashangaa Chama anambio sasa.
Nasubiri dhahama litakapopewa nafasi ya kucheza hakika litauwa kipa kabisa.
Said Ndemla.
 
Kwasaaa kwa hapa bongo Team ya Simba iko vzr sn! Kwa ule mpira wa Yanga na Polisi sijui km watachomoka kwa Mnyama
Yanga akisamehewa na kuonewa huruma sana basi hazipungui bao 2
 
Back
Top Bottom