Baba Swalehe
JF-Expert Member
- Jun 6, 2017
- 20,178
- 39,641
Mikia bhana 😅..mpango wenu wa kumchukua pogba umeishia wapi
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mwanaume mkia bila mkia uyo sio mwanaume[emoji23]Mikia bhana [emoji28]..mpango wenu wa kumchukua pogba umeishia wapi
Unasema ? 😲Mwanaume mkia bila mkia uyo sio mwanaume[emoji23]
nimecheka sanaHuyo mkuu dishi linayumbaga usimshangae
Raha Sana kuishabikia Simba SC
👊👊👊!Yanga ikikutana na Simba itabidi tuwatunzie heshima,ukiwapiga 4G nchi inaweza kukosa amani
Kila mtu Sasa pale Simba anacheza Mpira.Kuna mtu jana alikuwa anatolewa ulimi na dilunga, big HD jana umepiga mpira hadi ukashikwa na kigugumizi cha miguu
Alisikika mchomoa betri aliyesalimika na Moto wa petroli huko MoroGorosimba hakuna kitu chochote wamekutana na timu mbovu. simba atafungwa goli nyingi sana na yanga
Yanga akisamehewa na kuonewa huruma sana basi hazipungui bao 2Kwasaaa kwa hapa bongo Team ya Simba iko vzr sn! Kwa ule mpira wa Yanga na Polisi sijui km watachomoka kwa Mnyama