Jana usiku nime video chat na Cristiano Ronaldo dos Santos Aveiro, 🤯

Jana usiku nime video chat na Cristiano Ronaldo dos Santos Aveiro, 🤯

Top Gun

JF-Expert Member
Joined
Dec 11, 2024
Posts
257
Reaction score
860
Nime mscreen shot huyu hapa
9f21cedf8fc2b7084f0382f504da210e.jpg


Kaniambia nimtumie details za akaunti zangu anitumie pesa nikamuangalie kombe la dunia

Nimeshindwa kulala, natetemeka.😢
 
Kama umeshidwa kulala na kutetemeka . Huenda unatatizo lingine, Kamwone Daktari au subjri madaktari wa JF waje kukupa maelekezo.
 
Rudi mpakani kwanza huko unakoenda JBL itapasuka.

Huyo Msigwa kaamua kukuchezea Chezo.
 
Kila kukicha vijana mashoga wanaongezeka sanaa.
Jamiiforum nako kumejaa mapapai
 
Mapazia ya waha, na vitanda vya pale manzese🤣🤣🤣🤣
 
Ni watu wachache sana watagundua kama hili ni tangazo la biashara.
 
Back
Top Bottom