"Jana usiku Raisi wa Somalia Mogadishu amelala kwenye Kibanda cha Mbuzi, kuna tetesi Amekimbilia kusikojulikana"

Kumbe siku hizi Kenyata ni Al shabab!

Majanga.
 
Acha propaganda za kisenge we fualaa.hakuna Hyundai wala Mazda aliyefungua plant Somaliland

The entry of Hyundai in Somaliland comes just six months after the company opened a 10,000-a-year vehicle capacity assembly plant in the Somaliland capital Hargeisa on, its first factory in East Africa.

Source: Capital fm
 
Dudumagale.com Baptism in Somalia Church Kenya Christ Baptize in Somaliland

Mtoto mrembo akibatizwa huko Somaliland kama Waarabu walikuwa wanafurahi Waafrika wafe kwa kutetea Ideology yao sasa wajue Wasomali wameona Ungese Waarabu wapigane vita zao wenyewe wasomaliland wako na Kristo Mwokozi
Pongezi ziende kwa Uhuru Muigai Kenyatta.
 
Wasomaliland wanahamia Christianity 5000 kila Mwezi
 
Kama Raisi Jemadari Kama Muigai atashika Jamhuri Tukufu ya Kenya kufikia 2030 Somaliland yote itakuwa imekombolewa na South Somalia 50% watakuwa Wamempokea Yesu Kristo lakini Kama Kenya itaondoa Askari majasiri huko Wasomali watachinjwa kwa Order kutoka Qatar na Turkey
 

Mila za Wasomali zilikuwa hivi wanawake wao walikuwa wakivaa kikush na wakikuwa wakivaa nguo za kiutamaduni tokea enzi na enzi

Na walikuwa wakipendeza kwelikweli kama wanawake wengine wa Kiafrika.

haya mavazi yalikuwa yakivaliwa na Makabila mengi ya Kiafrika hata wakati wa Misri ya Mafarao.


Mara ghafla Waarabu wakawa wanatumia fedha na Terror groups kwa msaada wa tende waarabu walipofanikiwa kufuta dini ambayo ilikuwa ni Coptic christian na mila za Nubians iliwamo lugha yao huko sudani na Misri sasa hawahawa waarabu bado wanataka kufuta lugha za kisomali Kioromo kiAfar

Sasa ndugu zangu Waafrika tupambane tuige mfano wa Uhuru Kenyatta hawa watu wameisha brainwashiwa na Waarabu sasa Mapastor Wachungaji musibaki nyuma pekeleni neno la mungu na wakumbusheni kuwa sisi watu weusi tunapendwa na mungu
 
Hakuna sehemu kwenye Kor'aan iliyoandikwa Wanawake wavae Niqab ila vazi la niqab lilikuwepo hata wakati wa Upagani kwa hiyo Baibui Niqaab ni mila za kiarabu zulizoingizwa kwenye Dini

Ushauri wangu ni kwamba tupambane na Arabaization na wasomali wakiweza kuchukua Eneo la Bahari la Afrika ya Mashariki kwa sasa hivi wanapewa Millitary training na Turkey na hiyo pesa ya Mafuta itanunuliwasilaha za kisasa na hatari .

Waarabu watawatumia Wasomali kutangaza Dini ya Kiisilamu ndani ya Afrika Mashariki tutashudia Violante Jihadi ndani ya Ardhi ya Afrika ya Mashariki next Target ni Msumbiji wewnyewe wanaiita Mussa ambeki wanadai lilikuwa Taifa la kiisilamu.
Uhuru Kenyatta anaweza ila tusimuachie peke yake
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…