Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hiyo ni hadithi ilioyongezewa baada ya mtume kufarikiEbu soma hyo aya.View attachment 1206210
Unaenda Nairobi Kuna ofisi ndogo ya Ubalozi wa Somaliland unagongewa Viza unachukua Ethiopian Airlines au Africa Express to Hargeisa via Adiss Ababa.Brother unafikaje Somaliland tukajiopolee watoto wazuri
Ebu soma hyo aya.View attachment 1206210
Wewe mbona una kadi yao.
Wewe hujui siasa unachojua ni Udini ningefurahi siku upelekwe Lebanon ukawe khadam hata ukiswali vipi wao wewe kwao ni kijakazi mweusi tu.
Wewe jifanye Mdiini mimi nimezunguka Bara la Arabu karibia Lote kwao mimi hata nikiwa na sjida kama kitumbua ni Abidi Adua laahu.
Hata hadithi sahihi zinasema mwisho wa Uisilamu ni Muhabeshi ndio atakayevunjavunja Kaaba.
Sasa usijifanye kimbelembele saana kwa taarifa yako Wasomali wanaingia Ukristo kwa Makundi haswa Wasomali Wa Somaliland wamemkubali Kristo Mwokozi na kazi Eanayoifanya JAMHURI TUKUFU YA KENYA ni kuhakikisha wanasambaza Gospel Kisimayu
WaKush wametajwa ndani ya Bible mara nyingi tu ila mtu mweusi aliyetajwa Kwenye kuruani ni Bilal al Habshi yaani Bilali Mtumwa wa kihabeshi.lengo la Waarabu no kufuta Historia ya watu Weusi kwenye maandishi
Na wewe dada yangu mishipa inakutoka ukisikia ukweli
Sawa sawa... Kipindi cha garisa na westgate yesu alikuwa hana damu,au alikuwa likizo?Damu ya Yesu itatutakasa!
Magufuli.Meko Ndio nani
Magufuli.
Sina wasiwasi kabisa na haya ninenayo uisilamu unapukutika ndani ya Wasomali kuanzia jabuti hadi kenya mimi nakuwekea ushahidi wewe unaweka Porojo BWANA YESU ASIFIWE.Kuna haja ya JF kuanzisha Jukwaa la kupima watu akili [emoji23][emoji23][emoji23]
Hiyo ni hadithi ilioyongezewa baada ya mtume kufariki
Kumbuka Mtume mwenyewe hakuamrisha korani kuwa kitabu mpaka wakati wa kifo chake kulikuwa na watu waliomsikia akisema hao ni wanaitwa "mahafidhi" na Binadamu kama ujuavyo huwa ana wivu anajua uongo pamoja husda.
Nioneshe aya inayomwambia Mtume Aandike kitabu cha Koraan?! Halafu tuendelee
The burqa and other types of face veils have been attested since pre-Islamic times, in particular among Pashtun and Arab women. Face veiling has not been regarded as a religious requirement by most Islamic
Source:Wilipedia.
JESUS IS LORDKati ya mimi na wewe nani anaabudu binaadam?
YAHWE ni binadamu?
Kweni kuraani ninini? matukio yaliorekodiwa kutoka katika Toraah Injili kama ile hadithi ya mussa na Farao ni hadidhi zilizotikea miaka 3000 iliyopita huko Misri wala hazikutokea mbinguni ni hapapo Memphis Baadhi ya matukio ya Utawala wa Wahabeshi katika Bara Arabu. Au unafikiri ni kitabu kilichoshushwa kwa Parachute.Mwenye quran kuna hadith?