"Jana usiku Raisi wa Somalia Mogadishu amelala kwenye Kibanda cha Mbuzi, kuna tetesi Amekimbilia kusikojulikana"

Iwapo Somali itaungana Kenya,Ethiopia Eritrea zitakua kwenye hatari kubwa ya kukumbwa na Grand Jihaad.
 
Bi Mkubwa wewe ndio mshabiki mkubwa wa Alshababu hata uko radhi Dada zètu wa kiafrika katika Bara zima wavishwa Maburka hii ni Alien Culture kamwe hatutakubali
Wewe unataka dada zako waendelee kuwekwa uchi au nusu uchi?
 
Ikibidi unalala tu mkuu,umesha sahau Saddam Hussein alijificha kwenye handaki?Hata Gadaffi nae katika harakati za kujiokoa alikutwa kajichimbia kwenye Culvert?,kuishi kutamu mkuu....
 

Hiyo khadam ndio kitu gani kaka, huko ambako unampeleka bibi FaizaFoxy
 
Mabaharia em acheni mambo za udini, this is too much now, ugomvi wa kubishana utazuka anytime from now
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…