"Jana usiku Raisi wa Somalia Mogadishu amelala kwenye Kibanda cha Mbuzi, kuna tetesi Amekimbilia kusikojulikana"

"Jana usiku Raisi wa Somalia Mogadishu amelala kwenye Kibanda cha Mbuzi, kuna tetesi Amekimbilia kusikojulikana"

Tulizamshono
Huwa sikisii.

Pata na hiyo ya mwaka 2008...

Muslims more numerous than Catholics: Vatican

(Reuters) - Islam has overtaken Roman Catholicism as the biggest single religious denomination in the world, the Vatican said on Sunday.
Monsignor Vittorio Formenti, who compiled the Vatican's newly-released 2008 yearbook of statistics, said Muslims made up 19.2 percent of the world's population and Catholics 17.4 percent.

Source: https://www.google.com/amp/s/uk.mobile.reuters.com/article/amp/idUKL3068682420080330

Siyo vile viji tabloids vyako vya fake news.
 
Wewe mbona una kadi yao.
Wewe hujui siasa unachojua ni Udini ningefurahi siku upelekwe Lebanon ukawe khadam hata ukiswali vipi wao wewe kwao ni kijakazi mweusi tu.

Wewe jifanye Mdiini mimi nimezunguka Bara la Arabu karibia Lote kwao mimi hata nikiwa na sjida kama kitumbua ni Abidi Adua laahu.

Hata hadithi sahihi zinasema mwisho wa Uisilamu ni Muhabeshi ndio atakayevunjavunja Kaaba.

Sasa usijifanye kimbelembele saana kwa taarifa yako Wasomali wanaingia Ukristo kwa Makundi haswa Wasomali Wa Somaliland wamemkubali Kristo Mwokozi na kazi Eanayoifanya JAMHURI TUKUFU YA KENYA ni kuhakikisha wanasambaza Gospel Kisimayu
WaKush wametajwa ndani ya Bible mara nyingi tu ila mtu mweusi aliyetajwa Kwenye kuruani ni Bilal al Habshi yaani Bilali Mtumwa wa kihabeshi.lengo la Waarabu no kufuta Historia ya watu Weusi kwenye maandishi

Na wewe dada yangu mishipa inakutoka ukisikia ukweli
Huyo dada ni mdini sana afadhali kwa kuliona hilo....
 
Huyu ajuza wa kimumbi F.F Apitite hizi Videos na Hizi Nondo,aondokainpe na MentalSlaver.
 
Unaonesha hata video hujaitazama. Ndiyo maana nikakuwekea. Hao wote ni wale "reverts" ambao nadhani unafahamu maana yake. Usijidanganye.

Tazama hiyo nyingine na isikilize vizuri uone wanazaliana au wanatoka Ukristo kurudi Uislam...

Jaman ukristo kufa UK haiwezekani, kanisa la anglikan ndo inashikilia ile nchi, same as moscow kanisa la orthodox, usa na lutheran, italy na roman catholic, nchi nying za ulaya zna makanisa yanayoshikilia nchi so makanisa mengne kama yanakua hayana nguvu kwe nchi hzi, uk uislam kutokana na wageni wa kiislam unaendelea mbna kawaida tu ata saud arabia skutegemea kama kuna wakristo kumbe kuna makanisa makubwa tu pope alivyoenda mwaka jana nyote mliona vile viwanja vilivyojaa waumini wa kikristo, uturuki hadi leo ukristo unanguvu japo ni taifa la kiislam, so msishindane nguvu, kila mtu anaweza kwenda kufatana na iman yake. Ulaya nchi kama ufaransa ni ya kikristo ila imeruhusu uislam, kwann uk wakatae? Na kwann saud au turkey wakatae wakristo? So ishu n kwamba din zinakua japo christians ndo dini inayosambaa kwa wingi duniani
 
Huwa sikisii.

Pata na hiyo ya mwaka 2008...

Muslims more numerous than Catholics: Vatican

(Reuters) - Islam has overtaken Roman Catholicism as the biggest single religious denomination in the world, the Vatican said on Sunday.
Monsignor Vittorio Formenti, who compiled the Vatican's newly-released 2008 yearbook of statistics, said Muslims made up 19.2 percent of the world's population and Catholics 17.4 percent.

Source: https://www.google.com/amp/s/uk.mobile.reuters.com/article/amp/idUKL3068682420080330

Siyo vile viji tabloids vyako vya fake news.
Catholic sio dini, ila ni dhehebu la kikristo mama, islam ndio dini na christianity nayo ndio dini. Katika christians kuna madhehebu ata sijui idadi ila catholic ndo dhehebu kubwa, then Luther, anglican etc
 
Jaman ukristo kufa UK haiwezekani, kanisa la anglikan ndo inashikilia ile nchi, same as moscow kanisa la orthodox, usa na lutheran, italy na roman catholic, nchi nying za ulaya zna makanisa yanayoshikilia nchi so makanisa mengne kama yanakua hayana nguvu kwe nchi hzi, uk uislam kutokana na wageni wa kiislam unaendelea mbna kawaida tu ata saud arabia skutegemea kama kuna wakristo kumbe kuna makanisa makubwa tu pope alivyoenda mwaka jana nyote mliona vile viwanja vilivyojaa waumini wa kikristo, uturuki hadi leo ukristo unanguvu japo ni taifa la kiislam, so msishindane nguvu, kila mtu anaweza kwenda kufatana na iman yake. Ulaya nchi kama ufaransa ni ya kikristo ila imeruhusu uislam, kwann uk wakatae? Na kwann saud au turkey wakatae wakristo? So ishu n kwamba din zinakua japo christians ndo dini inayosambaa kwa wingi duniani

A study in 2017 revealed that Islam is the fastest-growing religion. Studies in the 21st century suggest that, in terms of percentage and worldwide spread, Islam is the fastest-growing major religion in the world.
https://en.m.wikipedia.org › wiki
Growth of religion - Wikipedia
 
Catholic sio dini, ila ni dhehebu la kikristo mama, islam ndio dini na christianity nayo ndio dini. Katika christians kuna madhehebu ata sijui idadi ila catholic ndo dhehebu kubwa, then Luther, anglican etc
Ukristo wote siyo dini.
 
Inaonekana we ni mbishi ambae akili zako finyu zinakutia utahira na chuki zisizo na faida. Ila ni sawa kama ukristo co dini, komaa na yako amini unavyoamini waache wakristo waamini wanavyoamini mwisho itajulikana mbele huko
Ukristo wote siyo dini.
 
Who cares, at the same time islam ndo inaongoza kupoteza waumini wao kwa vita kila cku. Libya, somali, syria, afghani, iraq, kashmir al these areas unajua ni raia wangap wanaondoka per night? So kwann wasiongezeke angalau kumi mana wanapotea maelfu
A study in 2017 revealed that Islam is the fastest-growing religion. Studies in the 21st century suggest that, in terms of percentage and worldwide spread, Islam is the fastest-growing major religion in the world.
https://en.m.wikipedia.org › wiki
Growth of religion - Wikipedia
 
Jifunze kujibu maswali. Usiwe poyoyo. Kwanza jibunuliloulizwa halafu uliza yako. Narudia...

Kati ya mimi na wewe nani anaabudu binaadam?
Nyote mnawaabudu binadamu, Nani Kat yenu kamuona Mungu, Mohammed au hata Yesu?
Na mbona Yesu na Mohammed hawakutumwa moja kwa moja na Mungu kwa Waafrika weusi ikabidi kwanza mzungu,Myahudi na muarabu kupata neno akiwa wa kwanza?

Nani Kati yenu Ni mwarabu au Myahudi was kutokea kule Mashariki ya Kati?

Zile Ni dini na tamaduni za Wazungu na waarabu kawaletea nyinyi wajinga weusi ili mtawalike vizuri.

Mwacha Mila Ni mtumwa...😂😂😂 FaizaFoxy ushawahi sikia mwarabu mtumwa wa mtu mweusi?
imhotep ushawahi sikia mzungu amekuwa mtumwa wa mtu mweusi?

Mwafrika kagawanishwa na hizi jamii mbili za wahuni ili waweze kututawala kiakili na financially and so far so good.😂😂😂

Mwafrika Ni mtu bure kabisa na ndio sababu kuu ya mzungu kuwaita nyinyi mnaopenda tamaduni za wenyewe "monkeys" because you love aping and you also hate yourselves and your cultures...Hebu angalia Mchina, mjapani, mkorea na wengine wengi ambao wanajivunia tamaduni na dini zao vile walivyobobea kiuchumi na pia kimawazo.

FaizaFoxy Ni muislamu damu katika Nchi LDC ya kiafrika.😂😂😂

imhotep Ni mkristo damu katika EAC maskini 😭😭😭

Waafrika tuamke tuawache Hii mental slavery.
 
Ukwel upo pale pale pale kuwa Mungu hakuumba dini, dini tumejiwekea sis wanaadam baaada ya kuwa tofauti kiimani, b4 jesus and mohamad manabii wa mwanzo hawakutangaza kuhusu uislam au ukristo bali wote wenye imani moja tulikua wamoja, vita ilikua kati ya waamini wa mungu mmoja na wale wasio mwamini ila sashv vita ni kati ya mwislam na mkristo wale ambao walikua na imani moja zaman na sasahv human made tunazoita dini zmetutenganisha kisa maslahi binafsi na sio mungu. Mtu yoyote anaemwamini mungu basi yey ana dini kamili ila ukristo na uislam ni tofauti baina ya race mbil ambozo zimetutofautisha tulokua na imani moja ya mungu mmoja. Hzi dini mbili ni tunaomfata yesu na wanaomfata Mudi. Mungu anatuona wazee hzi dini mbili ndo chanzo cha vita chuki na kutengana baina yetu japo tunaiman ya mungu mmoja. Kama akili zako finyu kama ulivyokaririshwa utapnga ila ukitumia akili utajua kuwa nnn na ongea
Nyote mnawaabudu binadamu, Nani Kat yenu kamuona Mungu, Mohammed au hata Yesu?
Na mbona Yesu na Mohammed hawakutumwa moja kwa moja na Mungu kwa Waafrika weusi ikabidi kwanza mzungu,Myahudi na muarabu kupata neno akiwa wa kwanza?

Nani Kati yenu Ni mwarabu au Myahudi was kutokea kule Mashariki ya Kati?

Zile Ni dini na tamaduni za Wazungu na waarabu kawaletea nyinyi wajinga weusi ili mtawalike vizuri.

Mwacha Mila Ni mtumwa...[emoji23][emoji23][emoji23] FaizaFoxy ushawahi sikia mwarabu mtumwa wa mtu mweusi?
imhotep ushawahi sikia mzungu amekuwa mtumwa wa mtu mweusi?

Mwafrika kagawanishwa na hizi jamii mbili za wahuni ili waweze kututawala kiakili na financially and so far so good.[emoji23][emoji23][emoji23]

Mwafrika Ni mtu bure kabisa na ndio sababu kuu ya mzungu kuwaita nyinyi mnaopenda tamaduni za wenyewe "monkeys" because you love aping and you also hate yourselves and your cultures...Hebu angalia Mchina, mjapani, mkorea na wengine wengi ambao wanajivunia tamaduni na dini zao vile walivyobobea kiuchumi na pia kimawazo.

FaizaFoxy Ni muislamu damu katika Nchi LDC ya kiafrika.[emoji23][emoji23][emoji23]

imhotep Ni mkristo damu katika EAC maskini [emoji24][emoji24][emoji24]

Waafrika tuamke tuawache Hii mental slavery.
 
Back
Top Bottom