Eli Cohen
JF-Expert Member
- Jun 19, 2023
- 4,460
- 13,715
Jana ndugu Shy land ameamua kumpa maua yake ndugu raraa reree
Ila pia tusimsahau ndugu yetu mwingine min -me
Hawa wote ni wazee wa support za likes bila kujali ni nani wala nani.
Leo pia nimpatie maua yake min -me
Hapa chini ni min me akiwa amejituliza baada ya siku nzito ya kupeana likes kwa kila uzi anaokutana nao: