Jana wamempa sifa ndugu raraa reree. Basi leo pia tumpatie sifa zake bwana min-me

_f571bca9-6178-447c-839c-725b22efc921.jpeg
mpumzisheni anaumwa ree Wang
 
Jana ndugu Shy land ameamua kumpa maua yake ndugu raraa reree

Ila pia tusimsahau ndugu yetu mwingine min -me

Hawa wote ni wazee wa support za likes bila kujali ni nani wala nani.

Leo pia nimpatie maua yake min -me

Hapa chini ni min me akiwa amejituliza baada ya siku nzito ya kupeana likes kwa kila uzi anaokutana nao:
View attachment 3155418
Kabisa mkuu huwa sitaki stress kabisa , nakula zangu usingizi na kadumu ka mbege pembeni 😂😂
 
Jana ndugu Shy land ameamua kumpa maua yake ndugu raraa reree

Ila pia tusimsahau ndugu yetu mwingine min -me

Hawa wote ni wazee wa support za likes bila kujali ni nani wala nani.

Leo pia nimpatie maua yake min -me

Hapa chini ni min me akiwa amejituliza baada ya siku nzito ya kupeana likes kwa kila uzi anaokutana nao:

Huyu mwamba min -me namkubali kwa kumwaga likes, yupo vizuri. Tumpe hongera zake nyingi.
 
Back
Top Bottom