The Icebreaker
JF-Expert Member
- Feb 11, 2018
- 22,278
- 65,817
Maxence Melo hua anatoa likes,nimeshapata likes 3 toka kwake.Hivi mods kwanini wasiwe wanatoa likes? Inamaana hawafurahii comments zetu?
Nimemruhusu mkuu wala hakuna tatizo 😂
Hahaha nipo hapa nimetulia tu na dumu la mbege pembeniView attachment 3155506
njoo viwanja sasa acha kulala ghetto kishamba😂
hahaha njoo ule tbs mzeeHahaha nipo hapa nimetulia tu na dumu la mbege pembeni View attachment 3155510
Unaweza kukuta Nyamwi255 mwenyewe yuko hiviUwahi kurudi sweetheart View attachment 3155512