Jana wamempa sifa ndugu raraa reree. Basi leo pia tumpatie sifa zake bwana min-me

Wana saidia sana, sababu hakuna kitu kinauma kama ukiandaa post yake umetumia muda kuandika halafu hakuna hata mmoja anayekusapoti hata kwa like
Ni kweli roho husuuzika walau kidogo ukiona yupo au wapo watu walioisoma komenti au post yako na kuona inafaa kisha wakakupiga na ka-like pap. Kuliko post/koment yako ikatembea kibubu-bubu mwanzo mwisho.
Hao min-me na raraa reree wadumu πŸ™ .
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…